mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe hukujua kuwa figisu zitakuwepo?
Wacha ujinga, Magufuli ndio Tanzania?Tanzania imeshaamua.
Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.
Waandamane wao na familia zao.
Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
JibebeNa kwanini hizo figisu zitokee?.
ishakuwa sheria sasa
Kwamba bila kuiba kura CCM HAKUNA ushindi?.
Jibebe
Ngoja wawekwe ndani kwanza hata wiki mbili. Nadhani wana hamu ya kula ugali wa bure.
Wacha weee Bibie huu msimu wenu wa kujimwambafai.Ngoja wawekwe ndani kwanza hata wiki mbili. Nadhani wana hamu ya kula ugali wa bure.
Common factor ni " demokrasia"Kwani lazima tufanane na ugiriki ππ
Dhana ya demokrasia I some na uilewe, demokrasia ya kutaka kila upendalo wew ndiyo litimie haipo hiyo , hapo utaona DEMOGHASIACommon factor ni " demokrasia"
Akirudisha hili shuti nitagWewe utakuwa uliishia QT, maana demokrasia ya kigriki haikuwa hivyo. Demokrasia ya Tanzania ni bora kuliko ya Ugiriki. Ugiriki wanawake hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku wewe umepiga kura na Queen Sendiga kagombea.
Ugiriki, maskini hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku utajiri au umaskini sio kigezo cha kugombea wala kupiga kula.
Ugiriki Watumwa na wageni hawakuruhusiwa kugombea wala kupiga kura. Huku kwetu wageni hupewa Uraia na kuruhusiwa kugombea na kupiga kura.
Sio kudaiwa wamesema live watu waingie road ,maana hakuna namna watapigwa tu.Kwa mujibu wa ACT Wazalendo Maalim Seif, Juma Duni, Ismail Jussa na viongozi wengine wa chama wakamatwa mchana wa leo wakidaiwa kuhamasisha maandamano.
Umeshawaona wakiandamana ikutoshe kutuliza kishimoshonde...Tanzania imeshaamua.
Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.
Waandamane wao na familia zao.
Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
Tanzania imeshaamua.
Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.
Waandamane wao na familia zao.
Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
Ndugu wataiba hizo kura zote kipindi cha majumuisho mawakala wao wasione kabisa yani mfano kwa Mbowe bonge la gepu hata kama wizi hapana yani hata akisema zile 15 anazosema zimekamatwa zikiwekwa kwake ngoma bado analazwa vibaya.CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi!
Mwanaume unabana pua "jibebe" acha ushoga!!!! huko usa wanakufanya vibaya utazalishwa wewe nyambafJibebe
Magu kakuinamisha wewe π€£πMwanaume unabana pua "jibebe" acha ushoga!!!! huko usa wanakufanya vibaya utazalishwa wewe nyambaf
Walichofanya CCM ni kuboresha yale waliyofanya kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka 2019Ndugu wataiba hizo kura zote kipindi cha majumuisho mawakala wao wasione kabisa yani mfano kwa Mbowe bonge la gepu hata kama wizi hapana yani hata akisema zile 15 anazosema zimekamatwa zikiwekwa kwake ngoma bado analazwa vibaya.
Wololo yayee ...
Kuna watu kibao wapo usa lakini huwezi ukajua lakini wewe limbukeni na shoga la kingosha muda wote ni kubana sauti "usa baby" umeshaazeka tafuta biashara nyingine ya kutafuta hela badala ya hiyo ya kudanga kwa wazunguMagu kakuinamisha wewe π€£π
vidudu mkuuπππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walifikiri wanashindania umonitor wa darasa la nne
KunaniHali ni tata sana hapa Kisiwani..