Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Kwa vistory hivi kuna watu wamejijengea picha kuubwa[emoji1787][emoji1787]
Yah! Picha inaweza kua kubwa kuliko uhalisia

Kuna jamaa humu aliwai nifata pm akinitusi sana et kaona mtu wake kazidisha mazoea Sana na mm kwenye nyuzi zangu, eti nipunguze kujidai Sana.

Nikamuuliza wapi nmejinadi, eti mtu wake keshaona mm nna Ela Sana. Nisije haribu mawmhusiano nae.

Nmemuuliza Ni Nani kamtaja, nikaja mfata pm mwanamke nikagundua ni mke wake kabisa wa ndoa na wote wako humu humu jf.

Aisee,
Nilisikitika Sana, mwanamke pia alimshangaa jamaa yake wivu ule. Ila akaniomba radhi nimvumilie ndivyo alivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila brother uko vzuri ukula wote wawili mtu na dada yake...! Mzee hapo nimekuvulia kofia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana kuna story huwa najizuia kupiga humu..niliwahi kubadili id bila kupenda nilipitia usumbufu sana pm miaka flani
 
Kinga Ni Bora kuliko tiba,
Shughuli nnazofanya ukiwa mzembe mzembe mweupe mwilini unasahaulika kabisa kwenye game.

Fitna, vigagula, chuma ulete na walozi Ni wengi Sana wanakuwinda wakushushe TU[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa biashara hiyo ni vyema kujikinga
Mama mjengo naona ni mtu wa church eeh ?
 
She's a good one

Methali :14 -1

Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Wife wangu Ni mwnye hekima na mkimya Sana,
ndo maana hata nnayofanyaga Sitaki kabisa ajue, ata akinikosea huwa Ni mwepesi kumsamehe maana najua namkosea sana uku pembeni na maisha yanasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Kwaiyo ilkuaje sasa,
jamaa yako alifanikiwa au alifeli kuendelea nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo tena baada ya muda waliachana na bint alitaka tuludiane ila mwamba nikakaza japo mpaka leo ananitafutaga ananambia anajutia makosa yake ila sioni sababu ya kumpa nafasi tena kwangu. Nilitaka ajutie makosa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…