DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #241
Ishapita MDA Sana, mwaka wa pili huu ashasahau kabisa[emoji4]Kosa kubwa la kiufundi mkuu.
Wanawake hawajui kusamehe bali hufunika kombe mwanaharamu apite.
Kazi unayo ni suala la muda.
Sent using Jamii Forums mobile app