Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Mkuu,
1. Uyu kijana kanikuta tayar Niko nae uyu binti.

2. Uyu binti anakana kabisa kwamba Hana mahusiano nae uyu kijana.

3. Uyu kijana hajaja kuniomba kwamba nimuachie uyu binti kwamba anamalengo nae.

4. Nikiangalia kitabia, kimalengo na kimahusiano uyu binti na kijana hawaendani . Binti bado damu inachemka Sana.

Naanzaje Sasa kujifanya nna kiherehere kupatanisha mahusiano yao ambapo wote Hamna yeyote anaenipa ushirikiano?

Kwann nisiache kijana apambane TU mwnyw kwa jasho lake amtukize binti?

Je Kama nikiforce afu binti hamtaki? SI ntakua nmefanya kazi bure dada angu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakera sometimes,, Sasa huruma unayomuonea huyo kijana Ni ya Nini,, km sio unafiki tu,, bhana eeh maisha ni yako na michepuko ni yako
 
Daaah ndo kwa mdogo ake baba J [emoji3][emoji3]ko saizi mama J anajua kuwa umempangia chumba mdogo wake
Hizo hajui, ila siku ya kwanza anaenda Kupanga pale alipohana just mama j Alikua anajua.
Na sisi ndo tulimnunulia vitu vya kuanzia maisha kwny chumba kile.
Hili la Sasa hivi hajui chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakera sometimes,, Sasa huruma unayomuonea huyo kijana Ni ya Nini,, km sio unafiki tu,, bhana eeh maisha ni yako na michepuko ni yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona makasiriko mtu wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui sababu gani ila Sijawahi dumu na mchepuko hata awe mzuri vipi...!! Akianza kero za mara tuzae sijui vizinga vingi hanisikii
Chaga bahili wewe sijui ni Machame?[emoji38][emoji38]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona makasiriko mtu wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nionyeshe makasiriko yalipo
 
Back
Top Bottom