Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

Ndio uzuri au sijui madhara ya demokrasia at times mtu anaweza jiropokea tu vitu ambavyo hana ata abc navyo na kupata gullible audience ya kuamini upuuzi wake.

Hakuna biashara kubwa na makini ambayo inauza bidhaa zake kwa credit isiwe na policy ya kutenga asilimia fulani ya hayo mauzo hiyo hela awatopata.

That’s the whole point of provision for bad (mikopo chechefu) anticipation of losses before they occur. Na hiyo losses inaruhusiwa in some instances kutoa kama expense (part of mitigating business income risks).

Sasa kama biashara ya kawaida inaruhusiwa kuwa na ‘provision for bad debt’ ije kuwa bank ambayo risks za ku-default ni kubwa zaidi.

Kusema CRDB ilitenga tsh 153 billion kwa ajili ya mikepo chechefu ni kielelezo cha ujinga, kwa sababu utengi hela rasmi una acknowledge tu anticipated losses kama potential expenses. Na hii pia ni mbinu ya kukwepa kodi kwa sababu inatumika sana kama accounting fraud practice kupunguza faida ili usilipe kodi sahihi.

If anything amemchongea Kimei, TRA wanaweza kwenda kuomba hesabu za huo mwaka if it’s within the past five years. Kuweka tsh 153 billion as a provision for bad debt is a lot especially if used those sums as business expense (to me that’s just accounting fraud).

Mwisho uwezi kukwepa mkopo wa bank kishamba ukaenda mahakamani. Ukishindwa kabisa kama ni biashara sheria (Banking and Financial Institutions Act, 2006) na regulation yake zake zinaruhusu bank kukuletea liquidator aokoe chochote kwenye mali za biashara tena bank ndio priority number 1 kwenye liquidation process.

Ni watu wanaondika na kujazana ujinga tu huko Twitter wote huyu Martin, Maria, Fatma na asilimia kubwa ya mapoyoyo wenzao huko Twitter.

Huko kwenye banks za serikali au biashara za serikali wizi ni systematic so no one cares (CAG kila siku anasema). Ila uwezi kuchezea hela za private banks kishamba ivyo kama anavyoelezea.
 
Katika utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, kampuni nyingi zinazofanya huo mchezo, zilifilisika na kukimbia nje ya nchi. Kampuni nyingine zilishtakiwa na wakurugenzi wake kufungwa.
Wakati hayo majambazi yanafungwa na mengine kutoroka hawahawa kina masese walisema Magufuli anakandamiza na kuwaibia wafanyabiashara.
 
Magufuli alikuwa anafukuza wawekezaji ila sasa Mama kawarudisha,nchi imetulia!!!
Wafanyabiashara wenyewe sasa🤣🤣🤣🤣.
Huu uhuni nenda ufanye Marekani kwenye taifa la kidemokrasia-kidikteta,uone utakavyonyolewa kipara na chupa badala ya wembe!
(Kuna mahusiano makubwa sana kati umasikini na utawala wa kidemokrasia na Kuna mahusiano makubwa sana kati utawala wa mkono wa chuma na maendeleo).
 
Hiyo taarifa Masese kaitoa kwenye gazeti la jana la Jamvi la Habari,siyo taarifa yake!
 
Hii taarifa siyo ya Masese,imeandikwa kwenye gazeti la jana la Jamvi la Habari!
 
Nimekudharau sana !
Wewe kidampa wa mzee Mbowe hata ukimdharau inasaidia nini?jitambue mkuu ,endelea kukesha kwenye mitandao kusifia wanaume hadi hapo utakapojua kuwa unapigana vita ambayo hamuwezi shinda🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Vidampa wa mzee mbowe wanalishwa matangopori usiku na mchana aisee,hii dhambi ya kupumbaza vijana iko siku watalipa.
 
Ndugu yangu uelewe hakuna kigeni hapo.....kinachotafutwa Ni hela ya kampeni....utasikia mama! Mama! Mama!mamaaaaaaa! Wanachukua lakini Ni kumpamba tuuu maaaaamaaaa
 
Hawa ndo matajiri wanaosifiwa na kinana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…