Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

Exactly mkuu, swali la msingi la kuuliza ni kwamba hizo kesi wanazoshinda wanashinda kwa loopholes gani..? To solve this, its needful knowledge to know wanashindaje hizi kesi kwanza.
 
Vijana kama wewe wana mchango mdogo sana kwa Taifa!
Unakosea mambo mengi kujibu bila kusoma na kuelewa kilicho andikwa na ni nani amekiandika.
Mosi, unaweza kunionyesha takwimu za asili mia sitini alizoweka huyo niliyemjibu? Tuwekee ushahidi huo hapa nasi tuupime usahihi wake.
Pili, katika hayo niliyo andika hapo kuna mahali popote palipoonyesha "ujana" wangu na hapo hapo kukupa mchango wangu kwa Taifa?
Hebu tuwekee mchango wako na wenzako tuone mlivyo changia taifa hili. Ndio mliopo huko CCM sasa hivi mkilididimiza taifa hili, halafu mnajigamba kuchangia?
 
Katafute judgement upate ufahamu!
Kama wewe hiyo 'judgement' unao ufahamu nayo, unashindwa kitu gani kuchangia hapa JF watu waione? Hata kutaja tu mfano, ilfanyika lini na wapi huwezi?
Sasa tutasemaje kwamba wewe ufahamu unao?
 
  • Hiyo yaweza kuwa michezo ya 'wakubwa' na hupangwa, kuchezwa na 'wakubwa' .... Mameneja, maafisa mikopo, wanasheria, wakopaji, n.k.
  • Hata hii mikopo ya kisasa hii yawezekana tungekuwa na whistblowers wanaojielewa wangekuwa wameshakisanua. Mpaka deni linafika kimo hicho bila loopholes. Siamini
 
Hao ndio wawekezaji na wafanyabiashara aliowarudisha mama baada ya kubanwa na Magu
 
Mwalongo, graduate wa UDSM, 2003, intern wa Law Associates ya Dk. Ringo Tenga, Dk Tenga is one of the best legal mind the country ever had,,Kabudi tupa kule, Mwalongo anawatesa mawakili mpaka wanaamua kutumia majungu.

Lawyers wa Banks wenyewe double dealers, though still i advise Jaji Mkuu anapopanga majaji wa commercial division ajiridhishe sana, Jaji kateuliwa nyumba yake iko mivumoni inajiuliza nianze kuua mtoto, baba au mama, unampa kesi ya bilioni 100, mtu akochomoa 500 akamchapa Jaji na ghorofa kali utamlaumu nani
 
Kwenye corrupt court haya ndo yanafanyika.

Mie nashangaa sana kesi za kukopa benki eti mtu anashinda.

Kule kunakuwa na ushahidi mwingi sana ambao haumlazamishi hakimu/jaji wote uwe umetimia. Maana unakuta mtuhumiwa amelamba hizo fedha sasa analeta jajnja tu.

Iwe umeweka dhamana ama laa, hawa wahujumu uchumi inabidi walipe mikopo yao.
 
Yaan mtu ukope kulipa uanzishe mgogolo, BOT wao kama wasimamizi sijui role yao huwa ni ipi kwenye hzi case.
Mie nadhani hizi hukumu ziwe ni kuboresha sheria zetu dhidi ya wakopaji lakini sio kuwapa nafuu.
 
yaani mabenki wanatapeliwa mikopo kizembe hivyo? kuna tatizo mahali either kwenye hio makala au hao lawyers wa benki ni wapumbavu!!
 

Hakika wachache wanatafuna mapesa kiulaini, huku walio wengi wanaambiwa hawawezi kupata huduma zote za afya bure n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…