Jamani, hapa duniani, kweli kuna nchi kama Tanzania? Najua Nigeria inasemekana sna, lakini kule kuna wasomi pia. Kumlaghai msomi si kitu rahisi. Hapa Tanzania yaelekea wachache waliosoma wamesomea wizi!