MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo nini kilikuwa kinafanyika?
Mchezo ya Yanga dhidi ya Azam uliopaswa kuchezwa Mkapa stadium umehamishiwa Azam complex!
Tunaomba maelezo tafadhali