Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi.
Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto.
Watu kukimbia nchi hawajaanza leo, watu kuigopa CCM former TANU haijaanza leo.
Baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu kabla ya kufa hakubomoa nyumba bali aliwarithisha nyumba hiyo hiyo watoto hivyo bado watoto wanaishi katika msingi mbovu.
Uzalendo uchwara wa kushughulikia watu una mizizi toka kwa baba.
Baba hakutaka kujaribiwa hata kidogo hivyo ndivyo hata watoto wake walivyo ukijaribu kuwahoji juu ya matendo yao uhai wako upo mashakani.
HAKUWA BABA BORA.