Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Siwezi kuwa hivyo tunatofautiana.Hata ukiwa wewe anaizingua jamhuri atashikishwa adabu akiivuka laini.
Madaraka yanapita tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuwa hivyo tunatofautiana.Hata ukiwa wewe anaizingua jamhuri atashikishwa adabu akiivuka laini.
Tii bila shuruti....Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi.
Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto.
Watu kukimbia nchi hawajaanza leo, watu kuigopa CCM former TANU haijaanza leo.
Baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu kabla ya kufa hakubomoa nyumba bali aliwarithisha nyumba hiyo hiyo watoto hivyo bado watoto wanaishi katika msingi mbovu.
Uzalendo uchwara wa kushughulikia watu una mizizi toka kwa baba.
Baba hakutaka kujaribiwa hata kidogo hivyo ndivyo hata watoto wake walivyo ukijaribu kuwahoji juu ya matendo yao uhai wako upo mashakani.
HAKUWA BABA BORA.
Baba alikua mtata hata yeye wakati wa uhai wake moja ya wosia alioacha alikiri kuwa alikuwa mtata haswa tofauti kidogo na mtoto wake wa kwanza aliyemuachia urithi.Kwa Baba walikuwa wanafichwa tu huko mafia island ili watulize munkari 🙄😳
Nakumbuka mzalendo mwenye akili nyingi akiitwa Oscar kambona alikimbia nchi mwaka 1967Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi.
Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto.
Watu kukimbia nchi hawajaanza leo, watu kuigopa CCM former TANU haijaanza leo.
Baba alijenga nyumba yenye msingi mbovu kabla ya kufa hakubomoa nyumba bali aliwarithisha nyumba hiyo hiyo watoto hivyo bado watoto wanaishi katika msingi mbovu.
Uzalendo uchwara wa kushughulikia watu una mizizi toka kwa baba.
Baba hakutaka kujaribiwa hata kidogo hivyo ndivyo hata watoto wake walivyo ukijaribu kuwahoji juu ya matendo yao uhai wako upo mashakani.
HAKUWA BABA BORA.
Watoto wanaulinda urithi wa baba usipotee hivyo hawawezi acha wosia wa baba.Ni sawa, ila Baba hayupo tena.
Kama tutashindwa kuijenga vyema nyumba yetu ni sisi wenyewe sio Baba tena maana hayupo
Changamoto sanaSawa tulikua na nafasi ya kusimamia maadili ya chama na serikali na sisi tukawa wajinga sana!!
Tukawafanya wazalendo maadui wezi marafiki chamani na serikalini!!
TuliokuwepoWaulize waliokuwepo wakati wa Mwinyi kilichompata aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali Bw Venance Fupi, au aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje Bw Mwasakafyuka.
Mao alikuwa kipenzi haswa wa babaMambo ya task force kumbe? Naye baba huenda alirithi kutoka kwa akina mao ze great, fidel castration ,soviet et .al.
Inaweza ikawa😀M
Mtoto wa 5 lazima atakuwa wa mama wa kambo sio kwa ile roho mbaya huyu mtoto wa 6 anapelekeshwa na upepo kama bendera
Marafiki wa baba walikiona cha moto pale walipo yaona mambo tofauti na baba.Ni kweli watu walijengwa kuwa waoga tangu wakati wa Mwalimu, japo kwa kauli yake Mwalimu, alisema anataka vijana jeuri, vijana wanaoweza kuhoji, na siyo wale wa, ndiyo mzee.
Lakini wakati wa Mwalimu kulikuwa na uafadhali mkubwa kwa sababu viongozi wengi walikuwa watu waadilifu. Hivyo hata ile haja ya kukosoa haikuonekana sana. Lakini hawa wa sasa, wengi wao ni mafisadi, wala rushwa waliojaa tamaa za kulimbikiza mali kwa njia chafu, halafu hawataki wakosolewe katika huo uovu wao. Laiti hawa viongozi mafisadi tulio nao, wangerithi pia uadilifu wa Mwalimu, watu wasingeona kama kuna haja kubwa ya kukosoa. Sasa jitu linaiba wazi kabisa, wote wanajua hili ni jizi, lakini linataka wakati linaiba kusiwepo wa kulinyoshea kidole na kuliombia kuwa wewe ni jizi, linataka wote mbebe maua kulishangilia kuwa linachapa kazi!!
Kila mtoto na mbinu zakeMtoto wa sita ndiyo kaharibu kabisa kuwazidi wenzie Kwa maovu.ukikosoa tu unapelekwa makao makuu ya watesaji(karakana osterbay)
UchawaNasikia kwa wagalatia Kawa mtakatatifu sijui mtume. Kwa wavaa kobazi wanamlalamikia kama msigwa
Tatizo Mwalimu aliacha mfumo uliomfaa mtu kama yeye tu ingawa bado haikuwa sahihi kuzuia ukosoaji hata ukiwa “malaika”.Ni kweli watu walijengwa kuwa waoga tangu wakati wa Mwalimu, japo kwa kauli yake Mwalimu, alisema anataka vijana jeuri, vijana wanaoweza kuhoji, na siyo wale wa, ndiyo mzee.
Lakini wakati wa Mwalimu kulikuwa na uafadhali mkubwa kwa sababu viongozi wengi walikuwa watu waadilifu. Hivyo hata ile haja ya kukosoa haikuonekana sana. Lakini hawa wa sasa, wengi wao ni mafisadi, wala rushwa waliojaa tamaa za kulimbikiza mali kwa njia chafu, halafu hawataki wakosolewe katika huo uovu wao. Laiti hawa viongozi mafisadi tulio nao, wangerithi pia uadilifu wa Mwalimu, watu wasingeona kama kuna haja kubwa ya kukosoa. Sasa jitu linaiba wazi kabisa, wote wanajua hili ni jizi, lakini linataka wakati linaiba kusiwepo wa kulinyoshea kidole na kuliombia kuwa wewe ni jizi, linataka wote mbebe maua kulishangilia kuwa linachapa kazi!!
Na Arusha.Mtoto wa sita ndiyo kaharibu kabisa kuwazidi wenzie Kwa maovu.ukikosoa tu unapelekwa makao makuu ya watesaji(karakana osterbay)
Baba alisema wazi kuwa "serikali yake ilifanya mambo mengi mabaya (aliyaita ya kijinga)". Hapa ALITUBU na akasema wazi kuwa tatizo letu tunayaacha yale mema tunafuata ya kujinga (main point)Haja ya kukosoa haikuonekana wakati watu walikimbia nchi na vizazi vyao kupigwa muhuri wa laana!!...wangapi walipigwa vifungo vya nje?..vile viraka na dhiki ni kweli hapakua na dukuduku la kuhoji,au ndiyo mtakatifu wako unajitajidi kufanya sugar coating!?..maana akianza kujadiliwa huyo tu huwa mnajitoa ufahamu,man was a bad leader with no vision
Kina KAMBONA walikula kona bila kupenda, ukizingatia kipindi kile ni 50 kweusi, dunia bado taarifa mnazipata anazotaka yeye tu, bora siku hizi tunapata taarifa zote tunaweza kuchuja na kujua mbivu na mbichi, ingawa hatuna ujeuri wa kumfunga paka kengele wala dereva wetu kumfunga speed governor.
M
Mtoto wa 5 lazima atakuwa wa mama wa kambo sio kwa ile roho mbaya huyu mtoto wa 6 anapelekeshwa na upepo kama bendera
Wengi wenu mkisimuliwa matendo ya baba hamtaki kuamini kwa sababu mmekwisha muweka moyoni kuwa alikuwa mtakatifu.
Lakini mtoto wake wa tano aliwaonesha jinsi baba alivyokuwa kipindi ambacho bado dunia ilikuwa gizani.
Hata mtoto wake wa sita hawezi kuupuuza urithi wa baba ila ana uendeleza kwa mtindo wake.
Baba alisema wazi kuwa "serikali yake ilifanya mambo mengi mabaya (aliyaita ya kijinga)". Hapa ALITUBU na akasema wazi kuwa tatizo letu tunayaacha yale mema tunafuata ya kujinga (main point)Ni kweli watu walijengwa kuwa waoga tangu wakati wa Mwalimu, japo kwa kauli yake Mwalimu, alisema anataka vijana jeuri, vijana wanaoweza kuhoji, na siyo wale wa, ndiyo mzee.
Lakini wakati wa Mwalimu kulikuwa na uafadhali mkubwa kwa sababu viongozi wengi walikuwa watu waadilifu. Hivyo hata ile haja ya kukosoa haikuonekana sana. Lakini hawa wa sasa, wengi wao ni mafisadi, wala rushwa waliojaa tamaa za kulimbikiza mali kwa njia chafu, halafu hawataki wakosolewe katika huo uovu wao. Laiti hawa viongozi mafisadi tulio nao, wangerithi pia uadilifu wa Mwalimu, watu wasingeona kama kuna haja kubwa ya kukosoa. Sasa jitu linaiba wazi kabisa, wote wanajua hili ni jizi, lakini linataka wakati linaiba kusiwepo wa kulinyoshea kidole na kuliombia kuwa wewe ni jizi, linataka wote mbebe maua kulishangilia kuwa linachapa kazi!!
Na pia inawezekana ilimbidi baba aendeshe nchi vile kutokana na wakati uliokuwepo. Kila siku waAfrica walikuwa wanapinduana. Huo ulikuwa ni kama mfumo kwa kipindi hicho.Ni sawa, ila Baba hayupo tena.
Kama tutashindwa kuijenga vyema nyumba yetu ni sisi wenyewe sio Baba tena maana hayupo
Aliposema hivyo watu walicheka,walicheka walikuaeya kijinga aliyoyazungumzia,palikua na utaratibu zamani kiongozi akiwa ziarani hupewa 'mtu' wa kuzungumza nae,hakumaanisha ujamaa au kuweka watu vizuizini ni ujingaBaba alisema wazi kuwa "serikali yake ilifanya mambo mengi mabaya (aliyaita ya kijinga)". Hapa ALITUBU na akasema wazi kuwa tatizo letu tunayaacha yale mema tunafuata ya kujinga (main point)
Lilikuwa ni jukumu la warithi kuyaacha hayo "ya kijinga"
Baba apumzike kwa amani.