Michezo ya kupotezana na kufichana ina mizizi mirefu

Tii bila shuruti....
 
Nakumbuka mzalendo mwenye akili nyingi akiitwa Oscar kambona alikimbia nchi mwaka 1967

Hakika Tuliipoteza Hazina kubwa
 
Ni sawa, ila Baba hayupo tena.

Kama tutashindwa kuijenga vyema nyumba yetu ni sisi wenyewe sio Baba tena maana hayupo
Watoto wanaulinda urithi wa baba usipotee hivyo hawawezi acha wosia wa baba.

Baba alikuwa na nafasi kubwa ya kujenda msingi bora wa nyumba ange wasikiliza hata marafiki zake yale waliomshauri yeye aliwaona wabaya.
 
Marafiki wa baba walikiona cha moto pale walipo yaona mambo tofauti na baba.

Usimchukulie baba poa alikuwa mkali haswa.
 
Nasikia kwa wagalatia Kawa mtakatatifu sijui mtume. Kwa wavaa kobazi wanamlalamikia kama msigwa
 
Kilichonikera kukuta historia chama kinapiganiwa kuliko nchi.

Hapa ndipo uharibifu ulipoanzia,
 
Tatizo Mwalimu aliacha mfumo uliomfaa mtu kama yeye tu ingawa bado haikuwa sahihi kuzuia ukosoaji hata ukiwa “malaika”.

Na ubaya wa huo mfumo ni kama sumu. Una manufaa makubwa sana kwa warithi kiasi kwamba wamejizatiti kuhakikisha kuwa hauwezi kubadilishwa. Wako radhi hata kuua au kuanzisha machafuko nchini kuliko kuubadilisha mfumo.

Wanaodai Nyerere alifariki zamani hivyo tatizo ni letu tuliopo kutorekebisha mfumo wajue kwamba si kazi rahisi. Maafa yanayotokea kwenye chaguzi zetu ni kiashiria cha ugumu wa kubadili huo mfumo. Walioko madarakani hawako tayari kwa mabadiliko. Hiyo kazi haiwezekani bila kutokea maasi makubwa (bloody rebellion) ndani ya nchi.
 
Baba alisema wazi kuwa "serikali yake ilifanya mambo mengi mabaya (aliyaita ya kijinga)". Hapa ALITUBU na akasema wazi kuwa tatizo letu tunayaacha yale mema tunafuata ya kujinga (main point)

Lilikuwa ni jukumu la warithi kuyaacha hayo "ya kijinga"

Baba apumzike kwa amani.
 
M

Mtoto wa 5 lazima atakuwa wa mama wa kambo sio kwa ile roho mbaya huyu mtoto wa 6 anapelekeshwa na upepo kama bendera
Baba alisema wazi kuwa "serikali yake ilifanya mambo mengi mabaya (aliyaita ya kijinga)". Hapa ALITUBU na akasema wazi kuwa tatizo letu tunayaacha yale mema tunafuata ya kujinga (main point)

Lilikuwa ni jukumu la warithi kuyaacha hayo "ya kijinga"

Baba apumzike kwa amani
 
Ni sawa, ila Baba hayupo tena.

Kama tutashindwa kuijenga vyema nyumba yetu ni sisi wenyewe sio Baba tena maana hayupo
Na pia inawezekana ilimbidi baba aendeshe nchi vile kutokana na wakati uliokuwepo. Kila siku waAfrica walikuwa wanapinduana. Huo ulikuwa ni kama mfumo kwa kipindi hicho.

Mwisho wa siku baba alikuja kukiri kuwa serikali yake ilifanya mengi mabaya (aliyaita "ya kijinga") kwa kuwa haikuwa inaongozwa na malaika.

Alilaumu sana kwa kusema kuwa tatizo ni kuwa yale mema yote ya awamu ya kwanza yanaachwa, yanachukuliwa "ya kijinga" (mfano ndio huo kwenye post). Baba alishatubu, apumzike kwa amani.

Sasa huyu mtoto wa 5 ambaye aliingia kwa demokrasia tena baada ya miaka 23 ya vyama vingi na sio kupindua nchi ndio tunashindwa kumwelewa kabisa
 
Aliposema hivyo watu walicheka,walicheka walikuaeya kijinga aliyoyazungumzia,palikua na utaratibu zamani kiongozi akiwa ziarani hupewa 'mtu' wa kuzungumza nae,hakumaanisha ujamaa au kuweka watu vizuizini ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…