Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Screenshot_20240219-023320.png


Mimi nakumbuka
1. Twende na Wakati - Radio Tanzania
2. Pilika pilika - TBC Taifa
3. Wahapa hapa - Radio free Africa

Karibu tukumbushane
 
Social medias zimekuja kuua/kuleta ushindani katika biashara ya radio na tv, sasa hivi hakuna kijana atakaa askilize michezo ya redioni aache kuvinjari TikTok.

Habari inatokea US baada ya dakika 2 au 5 imefika Tanzania, zamani watu wanasubiri taarifa ya habari kwenye tv ama radio.
 
Ilikuwa mizuri mara mia nyingi kuliko bongo movies na tamthilia uchwara za Jua kali.
 
Back
Top Bottom