Social medias zimekuja kuua/kuleta ushindani katika biashara ya radio na tv, sasa hivi hakuna kijana atakaa askilize michezo ya redioni aache kuvinjari TikTok.
Habari inatokea US baada ya dakika 2 au 5 imefika Tanzania, zamani watu wanasubiri taarifa ya habari kwenye tv ama radio.