Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mi nakumbuka yale mashindano yaliyofanyika Korea kusini na Japan ambayo mechi ya kwanza walicheza France vs Senegal na Senegal akashinda moja.
Kilichokuwa kinanikera ni mechi kuchezwa asubuhi tu.
Ninavyokujua wewe kuamka asubuhi na mapema haijawahi kua tatizo kwako, sasa nini kilikua kinakukera mechi kuchezwa muda ule mamii?Mi nakumbuka yale mashindano yaliyofanyika Korea kusini na Japan ambayo mechi ya kwanza walicheza France vs Senegal na Senegal akashinda moja.
Kilichokuwa kinanikera ni mechi kuchezwa asubuhi tu.
Ujue nilikuwa mwanafunzi hapo Ses 🙈🙈 sasa hiyo mida ya mechi ndio naamka kujiandaa kwenda shule au nyingine zinachezwa muda nikiwa shule hivyo nakuwa sizioni hapo. 😀😀Ninavyokujua wewe kuamka asubuhi na mapema haijawahi kua tatizo kwako, sasa nini kilikua kinakukera mechi kuchezwa muda ule mamii?
Kumbe ulikua unapitwa na uhondo wa mechi!? Pole sana Shadeeya. Mwaka ule Senegal walipiga mpira mwingi saaana, kina Elhaj Diouf, Khalilu Fadiga(mzee wa cheni), kina Kamara na wengineoUjue nilikuwa mwanafunzi hapo Ses 🙈🙈 sasa hiyo mida ya mechi ndio naamka kujiandaa kwenda shule au nyingine zinachezwa muda nikiwa shule hivyo nakuwa sizioni hapo. 😀😀
Ndio. 😀 😀Kumbe ulikua unapitwa na uhondo wa mechi!?
Kumbe ulikuwa Brazil. Hongera.Pole sana Shadeeya. Mwaka ule Senegal walipiga mpira mwingi saaana, kina Elhaj Diouf, Khalilu Fadiga(mzee wa cheni), kina Kamara na wengineo
Mimi chama langu Brazil lilikua limetimia haswaa. Kina El Phenomena Ronaldo Lima, Rivaldo, Ronaldinho, Cafu, R. Carlos n.k. utatokea wapi hapo kwa mfano!? Mwisho wa siku Brazil wakatoroka na kombe
Mpaka kesho mumi ni Brazil, sema tu ile rangi yao flani ile inakerakera kidogo😎😉😉Ndio. 😀 😀 Kumbe ulikuwa Brazil. Hongera.
😀 😀 😀 njano hiyoo. Lol.Mpaka kesho mumi ni Brazil, sema tu ile rangi yao flani ile inakerakera kidogo😎😉😉
Yah!!! Na mwaka jana kama sio France kutufunga lile bao moja mechi ya semi finali tulikuwa na kila sababu ya kuchukua ndoo.Hivo wewe ni Belgium eeh?
Kombe lile linawenyewe Shadeeya na Belgium sio miongoni mwao ujue🤣🤣🤣😀 😀 😀 njano hiyoo. Lol.Yah!!! Na mwaka jana kama sio France kutufunga lile bao moja mechi ya semi finali tulikuwa na kila sababu ya kuchukua ndoo.
Najua Ses ila kushika nafasi ya kwanza kwenye rank za Fifa kwa muda mrefu kidogo tulipaswa angalau tupate hiyo World Cup ituliwaze. 😀 😀Kombe lile linawenyewe Shaeeya na Belgium sio miongoni mwao ujue🤣🤣🤣
Sikuona ndio nilikuwa darasa la tano.Dah kwa hiyo hata ya 2006 hukuiona???
Kweli wewe muhenga..Kwa kuwa mimi ni muhenga basi sina budi kusema ni ile ya mwaka 1970 Mexico
Wakati Mario Zagalo ndio coach wa Brazil
Duu kina Tostao, Carlos Alberto, Pele, na Revelino
Hiyo ilikuwa ni timu haswa ingawa pia naikumbuka ya South Korea pia ya 2002
Ila msinikosoe kwa kusifia vya zamani maana na nyie itakuja siku mtasema simu ilikuwa iPhone bwana [emoji23]
Kweli wewe muhenga..
Maaaaah weee! We binti wa lini?Kama sijakosea Mali walifika robo au nusu fainali kwenye hizi fainali
2006 hiyo mzee sio 2010Naikumbuka ya mwaka 2010 mzee mzima anapata hamu ya kupiga mpira wa kichwa akasahau na kumtwanga Bartez eti katukanwa
Tuko wote BrazilianMpaka kesho mumi ni Brazil, sema tu ile rangi yao flani ile inakerakera kidogo😎😉😉
Hivo wewe ni Belgium eeh?