Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mi nakumbuka yale mashindano yaliyofanyika Korea kusini na Japan ambayo mechi ya kwanza walicheza France vs Senegal na Senegal akashinda moja.
Kilichokuwa kinanikera ni mechi kuchezwa asubuhi tu.
Kumbe wewe ni Katoto ka Juzi