Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

Alimchezea unyama thiery henry aliniboa sana
 
Acha utoto ase umeelewa swali au umekurupuka
 

Acha uongo , Ozil hakuwepo wala khedira
 
Umemsahau fransisco toti
 
France 98 na South Africa 2010
Sure 1998 ilikuwa best sana... Mimi Nilienjoy na haswa nilikuwa Mshabiki wa France na Holland ukizingatia kila Mechi ya Ufaransa ikiisha wimbo wao ulikuwa ule wa Cool and The Gang.. Let's go Dancin Ooh la la la la... yaani ilikuwa ni Raha tu..

Kulikuwa na Kizazi kikali sana cha Soccer that Time ukianzia na Wenyeji France..
Nawakumbuka,

Zidane,Bixente Lizarazu, Youri Djorkaeff,Roi,Emmanuel Petit,Thuram the Blackman Man,Stephen Guivarch,Darmat, Fabian Barthez kipa bora, Bernard Lama Kipa Black alikuwa anadaka balaa lakini anakula Bench alidaka sijui game moja tu, Thierry Henry,Diomède,Frank Leboeuf Uaraza haha,Karembeu Minywele,Chris Dugary ndava,Vieira,Laurent Blanc hacheki, Captain Deschamps,Robert Pires,Alain Boghossian, Mtaalam Trezeguet au Trezegol,Marcel Desailly dah..

Kulikuwa na vizazi vilivyokuwa juu kabisa kisoka

Histo Stockchov - Bulgaria
George Hagi - Romania
Ronaldo de Lima - Brazil
Nigeria - Peter Rufai, Mwanko Kanu,Jay Jay Okocha,Tijan Babangida,Emmanuel Amunike,Daniel Amokach father,Sunday Oliseh Lipstick alifunga Goli kali sana la mwendo kasi,
Chilavert kipa bora sana - Uruguay
Gabriel Omar Batistuta- Argentina
Ivan Campo -
Kluivert alikuwa katika Ubora wa hali ya Juu Sana na Timu yao ya Holland
England nayo ilikuwa Hatari- Shearer, McManaman, David Batty alikuja kosa penati dhidi ya Argentina, Beckham alimchezea faul Diego kocha wa sasa wa Atletico Madrid

Kilikuwa na Raha sana michuano ile timu zilikuwa bora kasoro Saudi Arabia tu
 
Unamsikia mtangazaji anatamka taratibu ''Lizarazuuuu....!'' ''karembeuuu....!''

BTW, aliyemharibu Ronaldo usiku ule ni Marcel Dersailly, alimgonga goti kihuni kama Ramos alivyomfanya M.Salah kwenye UEFA.
 
Unamsikia mtangazaji anatamka taratibu ''Lizarazuuuu....!'' ''karembeuuu....!''

BTW, aliyemharibu Ronaldo usiku ule ni Marcel Dersailly, alimgonga goti kihuni kama Ramos alivyomfanya M.Salah kwenye UEFA.
Ronaldo alipata degedege kabla ya mechi kuanza. Lisaa limoja kabla ya mechi kuanza, hakuwa kwenye orodha ya kikosi kitakachoanza, dakika 20 kabla ya mechi kuanza akarudishwa kikosini. Wengi wanasema wadhamini wake kampuni ya Nike walilazimisha Ronaldo kucheza.
 
France walinipa raha sana since day 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…