Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimchezea unyama thiery henry aliniboa sanaKuweka rekodi sawa...
Ozil, Khedira wameanza kucheza timu ya Tiafa ya Ujerumani mwaka 2009 na World Cup yao ya kwanza ni 2010 pale South Africa.
Marchisio 2006 hakuwepo kikosini wakati Italy ikitwaa Ubingwa wa Dunia na Kepteni wa Italy alikuwa Fabio Cannavaro na wala sio Gigi Buffon.
Acha utoto ase umeelewa swali au umekurupukaHata mi nashangaa , mpira ulipigwa sana aisee 2002 ni funga kazi inaonekana wengi humu walikuwa watoto au hawakuwa na exposure , Mimi nilikuwa siendi shule sa mbili asubuh nipo kwenye banda....ukiona wengi wanasifia 2006 na 2010 ujue ndo fainali zao za kwanza kuchek, mpak leo namkumbuka Oliver Kahn akichukua kiatu cha dhahabu , golikeeper pekee in football history kufanya hvyo...
Waliupiga mwingi sana wale jamaaKorea Kusini walikuwa na ngekewa flani hivi. Waliwatoa Italy kisha baadae wakawatoa Spain.
Nimeangalia fainal za kombe la dunia miaka.
1. 1990 Italy
2. 1994 marekani
3. 1998 france
4. 2002 korea na japan
5. 2006 german
6. 2010 SA
7. 2014 Brazil
8 . 2018 russia.
Kati fainal bora ni zile za 2006 pale ujerumani. Mechi bora za wakati wate kwangu ni nusu fainali kati ya German na italia. Italia wakibuka washindi kwa mabao ya Vicenzo Ianquita na mkonge Del Piero.
Ujerumani ikiwa na kikosi cha vijana wadogo kabisa. Meaut Ozil, Sammy Khadera ect.
Itali chini ya kocha Marcelo Lippi na wakongwe, Del Piero, Zambrotta, maestro Pillo, Alesandro Nesta, Fabio Canavaro na beki mtukutu Materatzzi.
Wengine ni Fabio Groso, Luca Toni, Claudio Marchsio na mzee mzima Genarro Gatuso. Captain gigi Buffoni akisimama katikati ya stick.
Hizo ni fainali zangu bora kuona.
Umemsahau fransisco totiKuweka rekodi sawa...
Ozil, Khedira wameanza kucheza timu ya Tiafa ya Ujerumani mwaka 2009 na World Cup yao ya kwanza ni 2010 pale South Africa.
Marchisio 2006 hakuwepo kikosini wakati Italy ikitwaa Ubingwa wa Dunia na Kepteni wa Italy alikuwa Fabio Cannavaro na wala sio Gigi Buffon.
Sure 1998 ilikuwa best sana... Mimi Nilienjoy na haswa nilikuwa Mshabiki wa France na Holland ukizingatia kila Mechi ya Ufaransa ikiisha wimbo wao ulikuwa ule wa Cool and The Gang.. Let's go Dancin Ooh la la la la... yaani ilikuwa ni Raha tu..France 98 na South Africa 2010
Usimkosoe mchangiaji haja weka Mwaka na wewe pia hujasema mwaka so acha kusumbuaAcha uongo , Ozil hakuwepo wala khedira
Unamsikia mtangazaji anatamka taratibu ''Lizarazuuuu....!'' ''karembeuuu....!''Uzi mzuri sana huu!
Kombe la Dunia bora kabisa kulishuhudia ni 1998 pale Ufaransa. Kulikuwa na vipaji maridhawa vya hali ya juu sana. Wachezaji walionyesha ubora wao wa hali ya juu.
Ufaransa katika ardhi ya nyumbani walikuwa na kikosi bora kabisa kilichoongozwa na mchanyato wa waarabu wa Algeria Zidane na Youri Djokaeff, pia akina Vieira, Karembeu, Lizarazu, Desailly na akina Petit.
Pia siwezi kusahau Croatia ya akina Davor Suker, fundi wa mpira Zvonomir Boban walivyopambana mpaka wakatwaa nafasi ya 3.
Kizazi cha dhahabu cha Uholanzi pia kilichagiza michuano ile. Wengi wa wadachi wale wakitokea katika akademi ya Ajax Fc. Moja ya magoli ya kukumbukwa ni Denis Bergkamp alivyoifunga Argentina katika robo fainali bila shaka baada ya kupokea pasi ndefu kutoka kwa beki wake, akakontroo, akageuka akaweka kambani. Bao maridadi sana.
Vilevile mechi bora kwa mtazamo wangu ni ile ya nusu fainali ya Brazil Vs Uholanzi, ulipigwa mpira mwingi sana, dakika 120 1-1, Brazil anashinda 4-2 kwa penati. Zamani kulikuwa na ufundi.
Kilichotokea katika mechi ya fainali, Ufaransa Vs Brazil, ni degedege alilopata Ronaldo De Lima mpaka leo hakieleweki ni nini kilimsibu inawezekana ni fitna za Wafaransa.
Mwisho kabisa, michuano hii ilipambwa sana na ule wimbo wa mashindano (go, go, go ale ale ale) ulioimbwa na msanii nguli Ricky Martin. Hakika kwangu mimi ule ni wimbo bora wa Kombe la Dunia wa wakati wote.
Hakika kombe la dunia la 1998 ilikuwa ni michuano ya aina yake.
Ronaldo alipata degedege kabla ya mechi kuanza. Lisaa limoja kabla ya mechi kuanza, hakuwa kwenye orodha ya kikosi kitakachoanza, dakika 20 kabla ya mechi kuanza akarudishwa kikosini. Wengi wanasema wadhamini wake kampuni ya Nike walilazimisha Ronaldo kucheza.Unamsikia mtangazaji anatamka taratibu ''Lizarazuuuu....!'' ''karembeuuu....!''
BTW, aliyemharibu Ronaldo usiku ule ni Marcel Dersailly, alimgonga goti kihuni kama Ramos alivyomfanya M.Salah kwenye UEFA.
France walinipa raha sana since day 1Uzi mzuri sana huu!
Kombe la Dunia bora kabisa kulishuhudia ni 1998 pale Ufaransa. Kulikuwa na vipaji maridhawa vya hali ya juu sana. Wachezaji walionyesha ubora wao wa hali ya juu.
Ufaransa katika ardhi ya nyumbani walikuwa na kikosi bora kabisa kilichoongozwa na mchanyato wa waarabu wa Algeria Zidane na Youri Djokaeff, pia akina Vieira, Karembeu, Lizarazu, Desailly na akina Petit.
Pia siwezi kusahau Croatia ya akina Davor Suker, fundi wa mpira Zvonomir Boban walivyopambana mpaka wakatwaa nafasi ya 3.
Kizazi cha dhahabu cha Uholanzi pia kilichagiza michuano ile. Wengi wa wadachi wale wakitokea katika akademi ya Ajax Fc. Moja ya magoli ya kukumbukwa ni Denis Bergkamp alivyoifunga Argentina katika robo fainali bila shaka baada ya kupokea pasi ndefu kutoka kwa beki wake, akakontroo, akageuka akaweka kambani. Bao maridadi sana.
Vilevile mechi bora kwa mtazamo wangu ni ile ya nusu fainali ya Brazil Vs Uholanzi, ulipigwa mpira mwingi sana, dakika 120 1-1, Brazil anashinda 4-2 kwa penati. Zamani kulikuwa na ufundi.
Kilichotokea katika mechi ya fainali, Ufaransa Vs Brazil, ni degedege alilopata Ronaldo De Lima mpaka leo hakieleweki ni nini kilimsibu inawezekana ni fitna za Wafaransa.
Mwisho kabisa, michuano hii ilipambwa sana na ule wimbo wa mashindano (go, go, go ale ale ale) ulioimbwa na msanii nguli Ricky Martin. Hakika kwangu mimi ule ni wimbo bora wa Kombe la Dunia wa wakati wote.
Hakika kombe la dunia la 1998 ilikuwa ni michuano ya aina yake.
Tena kwa goli la dhahabu la MansiziSENEGAL walifika robo fainali wakatolewa na turkey
Naunga mkono hoja1998 na 2002 ndo imepigiwa kura nyingi sana humu na kwa upande wangu hii ndo michuano mikali hadi Leo haijawah kutokea
dah! ile sheria walifanya jambo la maana sana kuiondosha.Tena kwa goli la dhahabu la Mansizi