Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

Haikuwa extra tym, bali dakika za mwisho mwisho. Nadhani ilikuwa 86 kabla ya del piero kuwamalizia.

Wachezaji wote wa german walilala chini. Maana hawakujua ni jinsi gani wangeweza kuchomoa goli mbili ndani ya dk 2
Fabio Grosso
grosso_gettyimages_1672788c.jpg
 
Kwangu ni Mwaka 1994...enzi zile Temeke Mikoroshini ,wenye TV UNAWAHESABU😀😀 hata Mzee Uruguay hakuwa nayo! Tulikuwa tunaenda Stereo...ile Nyomi haikuwa ya nchi hii!
Siku ya Fainali umeme ukakatika pale Stirio,tulihaha!ikabidi kwenda kwa Mzee mmoja wa Kihaya ..pale karibu na Lusaka kama una enda Yombo ,just opposite na kwa Said Mwamba,...tulibanana humo ...hadi leo ni siri yangu kuwa dakika za mwisho mpir asikuuona ,nilikuwa nashangilia tu! Kulikuwa na house boy wa yule mzee alikuwa na roho mbaya sana!
Tumetoka mbali ...!
Mkuu umenikumbusha mbali sana Mwaka 1994 Temeke Mikoroshini wenye TV walikuwa hawazidi watatu kitongoji kizima. World Cup tulikuwa tunatizama pale kwa Maganga kwa Mzee Omary Omary Baba wa Msanii wa Mchiriku na Singeli Omary Omary alieimba Kazi Yangu ya Dukani.
 
Kwangu ni Mwaka 1994...enzi zile Temeke Mikoroshini ,wenye TV UNAWAHESABU😀😀 hata Mzee Uruguay hakuwa nayo! Tulikuwa tunaenda Stereo...ile Nyomi haikuwa ya nchi hii!
Siku ya Fainali umeme ukakatika pale Stirio,tulihaha!ikabidi kwenda kwa Mzee mmoja wa Kihaya ..pale karibu na Lusaka kama una enda Yombo ,just opposite na kwa Said Mwamba,...tulibanana humo ...hadi leo ni siri yangu kuwa dakika za mwisho mpir asikuuona ,nilikuwa nashangilia tu! Kulikuwa na house boy wa yule mzee alikuwa na roho mbaya sana!
Tumetoka mbali ...!
Huyo Mzee wa Kihaya yupo mpaka leo,kipindi hicho alikuwa Captain wa Jeshi.
 
Back
Top Bottom