Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Ilikuwa extra time mkuuHaikuwa extra tym, bali dakika za mwisho mwisho. Nadhani ilikuwa 86 kabla ya del piero kuwamalizia.
Wachezaji wote wa german walilala chini. Maana hawakujua ni jinsi gani wangeweza kuchomoa goli mbili ndani ya dk 2
Fabio GrossoHaikuwa extra tym, bali dakika za mwisho mwisho. Nadhani ilikuwa 86 kabla ya del piero kuwamalizia.
Wachezaji wote wa german walilala chini. Maana hawakujua ni jinsi gani wangeweza kuchomoa goli mbili ndani ya dk 2
Zidane akiiua Brazil kwa header1998 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango, kina Davo Suka, Marcelo Salas, Nwanko Kanu, Zinedine Zadane "Zizu", Luis Figo, Dennis Bergkamp, Patrick Kluivert, n.k
Ile ndio fainali Bora kwangu kuliko zoteNashangaa hakuna anae isifu ile ya 2002 wakati haiji kutokea Kali Kama ile
Mkuu umenikumbusha mbali sana Mwaka 1994 Temeke Mikoroshini wenye TV walikuwa hawazidi watatu kitongoji kizima. World Cup tulikuwa tunatizama pale kwa Maganga kwa Mzee Omary Omary Baba wa Msanii wa Mchiriku na Singeli Omary Omary alieimba Kazi Yangu ya Dukani.Kwangu ni Mwaka 1994...enzi zile Temeke Mikoroshini ,wenye TV UNAWAHESABU😀😀 hata Mzee Uruguay hakuwa nayo! Tulikuwa tunaenda Stereo...ile Nyomi haikuwa ya nchi hii!
Siku ya Fainali umeme ukakatika pale Stirio,tulihaha!ikabidi kwenda kwa Mzee mmoja wa Kihaya ..pale karibu na Lusaka kama una enda Yombo ,just opposite na kwa Said Mwamba,...tulibanana humo ...hadi leo ni siri yangu kuwa dakika za mwisho mpir asikuuona ,nilikuwa nashangilia tu! Kulikuwa na house boy wa yule mzee alikuwa na roho mbaya sana!
Tumetoka mbali ...!
Huyo Mzee wa Kihaya yupo mpaka leo,kipindi hicho alikuwa Captain wa Jeshi.Kwangu ni Mwaka 1994...enzi zile Temeke Mikoroshini ,wenye TV UNAWAHESABU😀😀 hata Mzee Uruguay hakuwa nayo! Tulikuwa tunaenda Stereo...ile Nyomi haikuwa ya nchi hii!
Siku ya Fainali umeme ukakatika pale Stirio,tulihaha!ikabidi kwenda kwa Mzee mmoja wa Kihaya ..pale karibu na Lusaka kama una enda Yombo ,just opposite na kwa Said Mwamba,...tulibanana humo ...hadi leo ni siri yangu kuwa dakika za mwisho mpir asikuuona ,nilikuwa nashangilia tu! Kulikuwa na house boy wa yule mzee alikuwa na roho mbaya sana!
Tumetoka mbali ...!
On TvMkuu ulioonea wapi WC 1930?
Kocha wao sindo alikuwa Wenger au Ancellot?Waliupiga mwingi sana wale jamaa
France 1998 ndo kombe la dunia bora kabisa nililopata kuliangalia,Kama Kuna ya zaidi ya 98 na ile ya 2002 pinga hapa tafadhari......
Ninajiamini kwakuwa hakuna kizazi Cha dhahabu Kama kile na hakiji kutokea
Lonardo delima, Gaucho, rivardo, okocha, n.k wakali wa milele walicheza generation hii
Walikuana kipa wao mbabe Bogdan Stelea, nilikua namkubali sana huyu kipa. Pia kulikua na wakali wengine kina Adrian Ilie, Viorel Moldovan, Gheorghe Popescu, Dan Petrescu na team captain Gheorghe HaggiRomania walienda World Cup 1998 wote wakiwa na bleach
View attachment 1241862
to be honest,haya mashindano yalikua mazuri..hadi uratibu wake2018 ndo bora kwangu,kwa sababu France ambao hakuna aliewadhania watabemba ndoo,mwishowe wakaibeba.
Alifanya nn????Denilson,,,jamaa alisababisha Real Betis wavunje bank kumsajili alichoenda kufanya sasa huko hawasahau
2002 ronaldinho hakuepo acha chaiNaikubali ya mwaka 2002. Brazil akichukua kombe akiwa na Triple R,,,Ronaldo,,Ronadihno,,,Rivaldo ,,germanya wakiwa na kipa wao Oliver kahn wakisema ana mikona elfu moja..
Hahaha mkuu cheki rekodi zako upya. Moja kati ya mastaa wa kukumbukwa kwenye World Cup ya 2002 ni Dinho.2002 ronaldinho hakuepo acha chai