Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

2002 ronaldinho hakuepo acha chai
Uyo aliyevaa jezi namba 11 ndio Ronaldinho.
Kwa ufupi Ronadihno ndio alisababisha kocha wa brazil Scolari kuwa na ugumu na mashabiki,,,Mashabiki walikuwa wanamtaka Romario ila Kocha alimchagua Ronadihno,,,Ivyo basi Dinho alikuwepo na aliupiga mwingi sana muulize England. Hii ni chai ya maziwa. Kikosi kipo hapo chini
 

Attachments

  • Screenshot_20191027-111549~2.png
    189.5 KB · Views: 3
2006 ya mbabe Italy na 1994 ya samba ya Romario na bebeto
 
France 1998 ndo kombe la dunia bora kabisa nililopata kuliangalia,
Hiki kizazi kilikuwa balaa 1998

Zidane
Thiery Henry
Lian Thuram
Marcel Desaily
Davo sucker
Edgar Davids
Roberto Carlos
Dunga
Ronaldo
Michaelowen
Berkam
Amokach
Ja jay Okocha
Rashid Yakin
Ekpeba victor
Kanu
Olisah Sundy
Teribo West
George Fiinidi
Barthez
Samwel Eto
Patrick Mboma
Robert Song
Denis Bekamp
Cluvert Patrick
De boer
Jaap stam
Mark fish

Taja wengine.........
 
2002 nawakumbuka Simba wa teranga (Senegal) wakiwa katika ubora wao wanamfunga Ufaransa na kumvua Ubingwa,,,wakiwa na kikosi cha kina Diof
 

Attachments

  • senegal.jpg
    28 KB · Views: 3
2006 ndio Best kwa nilizozishuhhudia live. na 2010/2002 ndio worst
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…