Uyo aliyevaa jezi namba 11 ndio Ronaldinho.2002 ronaldinho hakuepo acha chai
Kwa ufupi Ronadihno ndio alisababisha kocha wa brazil Scolari kuwa na ugumu na mashabiki,,,Mashabiki walikuwa wanamtaka Romario ila Kocha alimchagua Ronadihno,,,Ivyo basi Dinho alikuwepo na aliupiga mwingi sana muulize England. Hii ni chai ya maziwa. Kikosi kipo hapo chini