Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
1998, 2006, 2018 kwangu zilikuwa finali bora sana.2002 michuano ilikuwa easy.. timu zinashinda ndani ya dakika 90...
World cup ya ukweli niliyoiona ni germany 2006... games zilikuwa za kibabe sana.. yaani kuanzia nusu fainali games zilienda extra time mpaka fainali