Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

1998 aisee,wachezaji wengi sana walionyesha viwango, kina Davo Suka, Marcelo Salas, Nwanko Kanu, Zinedine Zadane "Zizu", Luis Figo, Dennis Bergkamp, Patrick Kluivert, n.k

Mark Fish,Benny McCarthy na kuna yule mchezaji muda wote yeye kucheka cheka tu uwanjani akipiga chenga....1998 world cup.
 
World Cup 2002 (Korea and Japan)

Nilikuwa nawapenda Spain kuliko Wakatalunya.

Fernando Hierro alikuwa ndiye shujaa wangu.
Ruben Baraja
Gaizka Mendietta
Frnando Morientes
Gonzalez Raul
Ivan Helguera.
Carles Puyol

Wanafungwa kwa mikwaju ya penalty dhidi ya Korea ya Kusini.
This of 2002 was the best to me
 
Wote naona hakuna alietaja 2014 ile fainali ulipigwa mpira wa kisasa kabisa ambapo ulimwengu wa soka ulikua umebadikika kabisa na emerge ya new era of football ambapo tactics technics zime advance zaid japo zilianza kuonekana la 2010 spain ikipiga mpira mwingi sna though kwa mtizamo wangu huo competition zinzidi kuwa bora zaid kutokana ubora na usasa pia technology katika kukusanya data za individual na team kwa ujumla
 
Lucas Radebe hakuwepo kweli?

Alikuwepo mkuu,nimemkumbuka mchezaji mwenyewe Al Haji Diouf Msenegal.

DIOUF.jpg
 
Back
Top Bottom