Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Chanel ipi inaonyeshwa hii game. Naona AZAM wanazingua mara waonyeshe mawa wasioo yeshe. Tupeni machimbo asee
 
Chanel ipi inaonyeshwa hii game. Naona AZAM wanazingua mara waonyeshe mawa wasioo yeshe. Tupeni machimbo asee
Si uende kibanda umiza kama azam hawaoneshi. Mbona matangazo yanatoka kila siku kwa visimbuzi vitakavoonesha haya mashindano?
 
Hili ni pambano la wanaume wawili linahitaji thread yake yenyewe special.
 
Game ndio inaanza hapa Sasa n Germany ndio wa
 
Dakika ya 17 Mbape anapiga moja ya moto inapanguliwa vyema na kipa wa Germany
 
Hummels anajifunga hapa.
German 0 France 1
 
France wako vizuri, Wametulia sana
 
Pogba anamchezea Muller Rafu, Kroos anpiga fauli inapaa juu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…