Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Ngolo Kante hakuonekanwa uwanjani kabisa, Halafu ati ni best midfield in the world, my foot
 
Ni kweli tulifika fainali lakini tulifungwa, hiki ni kiporo lazima tukile hata bila kukipasha

Jitahidini angalau mfike nusu fainali, msiishie robo fainali. Sijui ilikuwaje mlipigwa kipigo cha mbwa coco na Wales kipindi kile
Mipango yetu ni kuchukua kabisa. 😀

Kila la kheri kwenye iko kiporo chenu mdogo wangu lakini msisahau tupo wengi katika kulipambania hilo kombe.
 
Mie nipo na German tangu nipo yankiih, hakna siku nilipata tabu ya ushabiki ktk maisha yangu km ile world cup 2014, match kati ya [emoji629] na [emoji1054], maan ndo team zangu.

Na [emoji1054] alichapwa 7 kwa 1, yaan hata sikua naelewa niwe upande upi na nishike lipi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji629] akiwa out hapa, ntakuwa mtazamaji tyuuh. Ila naamin haiwezi kuwa hivyo.
Ile ilikuwa aibu ya mwaka Mkuu. 😀
 
😀😀😀Mpwa nimejikuta nakumbuka ule uzi wako wa Verification. Lol
Ha ha ha ha sasa nyie mmefunga Inbox tunawapataje?
Its beautiful to date a soccer girl.
 
Mechi za Jana was not easy.
Portugal hawawawezi France.
 
Back
Top Bottom