Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Huu mchezaji anyeitwa Pogba mpira anaujua sema nahisi kama huwa hayuko serious,anacheza slow sana,namkumbuka enzi zile ndo anaanza kuwika alikua ni moto wa kuotea mbali
 
France ameshinda na Portugal ameshinda pia, hili kundi ni miongoni mwa Makundi magumu kwenye haya mashindano hadi sasa.

Ukiangalia namna timu zilivyocheza games zao za jana unaona timu mbili za France na Portugal zina nafasi ya kushinda. Ingawa kila timu naona ikiifunga timu dhaifu ya Hungary kwenye group lao.

All in all Ngolo Kante ameendelea kuonesha umuhimu mkubwa sana kwenye kiungo cha France hasa akiendelea kucheza na Paul Pogba
Kante and Pogba when they start together for France:

[emoji3502] 22 wins
[emoji3502] 6 draws
[emoji3502] 0 defeats

[emoji36]
IMG_20210616_081953_387.jpg
 
Haiwezekani hata, jana enyewe pale kujifunga ilikua draw,
Sasa mie nakuambia mshindi wa michuano hii atakua m1 wapo kat ya [emoji632] na [emoji629].
Kwa France hapo sawa ila kwa German. Mmmh.

Ila wacha tusubiri tuone Mkuu.
 
Back
Top Bottom