Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Hahahahaaaa. Hutaki kujiweka roho juu. Lol

Saafi!! Na vile tumekunywa maji ya kijani [emoji3] hamna wa kutubadilisha.
Hapo sawa ili pawepo na ushindani/ubishani na kuleta ladha ya kufuatilia kila kinachojiri.

Tulibeba WC, huo msako upo pale pale. Ninyi bakini na akina Lukaku tu
 
Hapo sawa ili pawepo na ushindani/ubishani na kuleta ladha ya kufuatilia kila kinachojiri.

Tulibeba WC, huo msako upo pale pale. Ninyi bakini na akina Lukaku tu
🤣🤣 umejuaje eti mana mie ni team Belgium na naamini tuna nafasi ya kufanya jambo this time eti.

Nakumbuka France huwa mna juhudi mbaya na hata Euro ilopita nyie mlifika final pia japo kama sikosei mlifungwa.
 
[emoji1787][emoji1787] umejuaje eti mana mie ni team Belgium na naamini tuna nafasi ya kufanya jambo this time eti.

Nakumbuka France huwa mna juhudi mbaya na hata Euro ilopita nyie mlifika final pia japo kama sikosei mlifungwa.
Ni kweli tulifika fainali lakini tulifungwa, hiki ni kiporo lazima tukile hata bila kukipasha

Jitahidini angalau mfike nusu fainali, msiishie robo fainali. Sijui ilikuwaje mlipigwa kipigo cha mbwa coco na Wales kipindi kile
 
Najua hiyo ndo itakuwa siku ya kutafuta timu ingine ya kushangilia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] (jokes)

#Hainashida.
Mie nipo na German tangu nipo yankiih, hakna siku nilipata tabu ya ushabiki ktk maisha yangu km ile world cup 2014, match kati ya [emoji629] na [emoji1054], maan ndo team zangu.

Na [emoji1054] alichapwa 7 kwa 1, yaan hata sikua naelewa niwe upande upi na nishike lipi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji629] akiwa out hapa, ntakuwa mtazamaji tyuuh. Ila naamin haiwezi kuwa hivyo.
 
F
Tatizo kapangwa na wagumu zaidi yake ,, German ipo vizuri but Haina ubavu wa kumpiga mreno...huku Huku Jota kule Ronaldo kule Tena Hernandez kule Tena benaldo Silva anapitia wap boss
Football is Bouncing Mkuu.
 
Back
Top Bottom