Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Dakika ya 30 sasa Mpira unaendelea kwa kasi kidogo.
Bado ni Moja bila
 
Dakika ya 35 kona inapigwa kwa Ujerumani.
 
Almost to Halftime now.

France 1 German 0.
 
Dakika 45 za kipindi cha Kwanza Zimekamilika. German wakitanguliwa kwa Goal 1.
 
Kipindi cha Pili kimeanza hapa.

Bado ni ngumu sana Kutabiri hii game
 
Back
Top Bottom