Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Si mchezo inatokea piga nikupige kwenye Goli la wafaransa
 
Pavard beki machachari wa France anagongwa kichwa hp
 
Dakika ya 61 Ujeruman wanapig kona lakini haileti mafanikio.
 
Dakika ya 63 kona nyingine inapigwa kwa wafaransa inachezwa vizuri
 
Kuna Substitution tatu zinafanyika kwa Ujeruman kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom