Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Rabiot anakosa goli la wazi kabisa
 
Aiseeee Ujerumani wanakosa goal tena
 
Si mchezo inatokea piga nikupige kwenye Goli la wafaransa
 
Pavard beki machachari wa France anagongwa kichwa hp
 
Dakika ya 61 Ujeruman wanapig kona lakini haileti mafanikio.
 
Dakika ya 63 kona nyingine inapigwa kwa wafaransa inachezwa vizuri
 
Dakika ya 68 Ujerumani wanapiga kona
 
Kuna Substitution tatu zinafanyika kwa Ujeruman kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…