Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

Kwa io Toyota na utitiri wa magari haifai? Au ni kwa electronics?
Sasa umeshasema magari hiyo ni bidhaa ya aina moja, electronics ni industry pana sana ambayo ndani yake ina bidhaa za aina nyingi, mfano feni na jiko ni bidhaa za aina mbili tofauti kabisa
 
Ukisoma box lake wameandika coffee maker, tea and milk. Kama unatengeneza kahawa, inashindwaje kupasha maziwa na maji kwa ajili ya chai

Mkuu coffee maker sio electric kettle...jinsi inafanya kazi tofauti na namna unavyodhani
 
Unakuta mtu kajenga nyumba nzuri tu, ingia hapo sebuleni kwake sasa πŸ˜‚πŸ˜‚ tv ukutani aboder,sijui buffer aboder, king'amuzi continental alooh
 
Unakuta mtu kajenga nyumba nzuri tu, ingia hapo sebuleni kwake sasa πŸ˜‚πŸ˜‚ tv ukutani aboder,sijui buffer aboder, king'amuzi continental alooh

Wengi hawana uelewa mkuu, huku wengine ikiwa ni masuala ya bajeti, wengine wanahofu ya kuwanunulia wezi, na wengine mambo ya electronics sio vipaumbele, wengine wana hofu na watoto waharibifu...
 
Kwa hiyo vitu vya Samsung na LG sio vya kuviamini?

Amandla...
 
Daddy…

Nimependa hitimisho lako

By the way i miss you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…