Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

Nikiongelea Chips:
Kukaanga inamaanisha mafuta, ingawa ni unhealthy ila ndio utamu wenyewe na hivyo vyote hapo hakuna ukaangaji..

Aina za mapishi yoyote yana -utofauti wake hata kwenye taste
 
Wengi hawana uelewa mkuu, huku wengine ikiwa ni masuala ya bajeti, wengine wanahofu ya kuwanunulia wezi, na wengine mambo ya electronics sio vipaumbele, wengine wana hofu na watoto waharibifu...
Umejibu kwa hekima sana....
 
hmm, air frier haiwezi kava zote hizi
hata microwave haikavi zote hapo

ila kwa kuchoma kuku frier ndiyo kwake, kukaanga chips frier ndiyo kwake ila kuna namna inabidi uziandae, japo zinatoka kama kaukau vile

kupasha ni microwave as inapasha toka ndani kuja nje

Ikiwa kubwa weka kifaa cha bati chenye maji chini!! Mvuke unafanya isiwe kau kau.
 
Back
Top Bottom