hmm, air frier haiwezi kava zote hizi
hata microwave haikavi zote hapo
ila kwa kuchoma kuku frier ndiyo kwake, kukaanga chips frier ndiyo kwake ila kuna namna inabidi uziandae, japo zinatoka kama kaukau vile
kupasha ni microwave as inapasha toka ndani kuja nje