Mida ya saa tisa usiku mpaka saa kumi na moja ndio mida ya kupata nguo na viatu grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwa wauza mitumba

Mida ya saa tisa usiku mpaka saa kumi na moja ndio mida ya kupata nguo na viatu grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwa wauza mitumba

Ila hapo kwenye kiatu kuuzwa 8K karume halafu mwenge 100K.

Mbona gap kubwa sana.
Inategemea na aina ya kiatu kuanzia hiyo bei mpaka 20,000 pale Mwenge mtumba wanauza 80,000 mpaka 55,000 , wale jamaa wanaendaga asubuhi wakichukua wanakuja kuviosha na kupiga kiwi unahisi kipya , hivi code aliyoitoa mdau ni ya kweli mkuu
 
Achana na ntumba, nunua jinzi mpya nzito bei ya jumla 16k chukua tano na raba mpya 35k to 45k hapo unapata airforce na air Jordan nunua tishet mpya kwa 11k au jezi kwa 15k tayari unaulamba achana na hayo ma yuzidi mzee
Wapi zinapatikana
 
Kujuwana kwingi kwanza usome mazingiria af pia uwe mchangamfu
 
Chukua nguo zako Rudi zako nyumbani nenda kapendeze na watoto wako.
Taja na siku maana kuna siku na siku sio siku zote na pia fungua code kuna kuuziwa kanyabayenza usiku ule watembee na simu yenye mwanga au tochi mulika kwanza kuhakiki usichukue ukaenda utalia peke yako nyumbani kukipambazuka
 
ukienda kimihemko utalia, bora usubirie asubuhi ya mapema uchague kwa umakini
 
Labda uwe mzoevu mnada wowote unahitaji mtu mzoefu, kwanza kuna code wanawatumia ambazo wazoefu ndio wanazielewa tu.
 
Back
Top Bottom