Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hakika...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika...
Inategemea na aina ya kiatu kuanzia hiyo bei mpaka 20,000 pale Mwenge mtumba wanauza 80,000 mpaka 55,000 , wale jamaa wanaendaga asubuhi wakichukua wanakuja kuviosha na kupiga kiwi unahisi kipya , hivi code aliyoitoa mdau ni ya kweli mkuuIla hapo kwenye kiatu kuuzwa 8K karume halafu mwenge 100K.
Mbona gap kubwa sana.
Wapi zinapatikanaAchana na ntumba, nunua jinzi mpya nzito bei ya jumla 16k chukua tano na raba mpya 35k to 45k hapo unapata airforce na air Jordan nunua tishet mpya kwa 11k au jezi kwa 15k tayari unaulamba achana na hayo ma yuzidi mzee
Faida ipo mkuu?Niliwahi jaribu hii enzi za nyuma kdg aisee , kama hujazoea unaeza chemka mapema tu
Sikuenda kwa ajiri ya biashara, ila faida ipo maana unanunua kitu kizuri kwa bei poa..Faida ipo mkuu?
Dah nilijaribu nikashindwa na saa kumi unakuta wakata mahalo hawajafikaSio rahisi hivyo kama unavyoandika
Huo mtiti wake ukifanya masihara unaondoka na misulupwete
Taja na siku maana kuna siku na siku sio siku zote na pia fungua code kuna kuuziwa kanyabayenza usiku ule watembee na simu yenye mwanga au tochi mulika kwanza kuhakiki usichukue ukaenda utalia peke yako nyumbani kukipambazukaChukua nguo zako Rudi zako nyumbani nenda kapendeze na watoto wako.
Utachemka kwenye nini?Niliwahi jaribu hii enzi za nyuma kdg aisee , kama hujazoea unaeza chemka mapema tu
Ulishawahi fanya biashara???Cheap is expensive
Saa 9 usiku binadamu anatakiwa awe amelala au anamuabudu Mungu wake
Hakika...