arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Rudia upya mdahalo mkuu na mm siongei kimahaba....propaganda unaweza kuongea vitu vya uongo na vingine vikawa na ukweli pia ila asilimia kubwa vinakuwa ni nadharia....nimemfatilia sana Babu Trump kuanzia alipokuwa anaongoza nchi mpk Sasa alivyotangaza Nia na kupewa tiketi kugombea....style yake ya kubadilishana hoja ni kwanza anataka akutweze Ili uingie uoga ndo huko ku attack personality halafu anapenyeza na agenda zake na ni mtu ambaye ana maneno ya mtaani sana....Sasa kwa presidential candidate ukishapewa nafasi ya kuongea na hadhira ni kujielekeza kwny mipqngo yako na sera zako nn utqfanyq na kuwapeleka watu mbele....hzi tactics anazotumia angefanikiwa kwa Babu Biden sio hyu mama....hyu mama atamsumbua sana....kama anataka mdahalo tena ajipqnge vizuri raundi ijayo sio atumie hii mbinu....atazidi kuharibu....na haka kamama kanamjua Babu alivyo ndo maana tangu awali kalikuwa kanataka midahalo sana....Babu Trump bado ana nafasi kubwa ila asikubali tena kuuingia ule mtego kama wa janaUkitaka kuufaidi mdahalo ujao bac ushabiki na uzandiki uweke pembeni hapo utachuja kwa haki…
Kamala kagalagazwa sn kwny ule mdahalo, licha ya jopo la moderators kuonyesha wazi wapo upande wa bibie..
Na hakuna propaganda yoyote ambayo trump kaizungumza without critical reseach,
Mfano hai ni lile swala la wahamiaji kutoka hait kuvamia na kula mifugo ya wenyeji wa Springfield, walizani trump kalopoka tuu, leo team y waandish wa habari wamefunga safari huko springfield
Wenyeji wamesema ni kweli mifugo yetu inavamiwa na kuchinjwa, mbwa wanauawa n trump alichosema n ukweli mtupu…
Hilo tuu limeonyesha kuwa trump hakurupuki kwny kila anachoongea..