Midahalo hata irudiwe mara kumi, kiufundi Trump hataweza kumshinda Harris katika mdahalo!

Midahalo hata irudiwe mara kumi, kiufundi Trump hataweza kumshinda Harris katika mdahalo!

Swali la kwanza tu Kamala Harris ameulizwa na ameshindwa kujibu, are Americans better off now Economically than they were four years ago? Baada ya kukwepa hilo swali sikuona hata haja yakuendelea kufuatilia huu mdahalo.
Mi nawashangaa wanaosema kamara amefanya vizuri
Nje ya kuchekacheka na kusaidiwa na mods sijaona la maana
 
Haya ndio maoni ya wote au yakwako wewe kapuku?,nani alikwambia USA presidaa anategemea midahalo kupata urais?,

Kwa USA wazito wanajua nani watakwenda nae kwa maslahi yao ya kibiashara,hilo takwa la kupiga Kura ni utaratibu tu kama mwingine
Mavi ya Afrika haya!! Hapo mwilini umejaza mavi umekosa akili!! CCM imewaharibu sana akili kiasi cha kudhani dunia nzima urais unaokotwa kama mlivyo kwenu mavimavi!
 
Trump ndio mwamba.
Kesha weka mpira kwapani.
Screenshot_20240911_180332_X.jpg
 
Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika kujifunza nk.

Mbali na sera za wagombea kuna vitu vingi mnoo huangaliwa katika midahalo hiyo ili kuwavutia wamerekani wengi ili kuja kuwapigia kura hao wagombea.

Haya machache nitaweka hapa kuhusu mambo ya kiufundi katika mdahalo. Tukianza na upande wa Trump, mtindo wake wa kulumbana katika midahalo ni ule ule, ni mwendo wa kuporomosha mashambulizi mazito dhidi ya mpinzani wake na kusema lolote lile ilimradi litambeba katika mbio zake za urais. Na ndicho hicho hicho alikifanya tena katika mdahalo huo. Ni mtindo wa wanasiasa katika kusaka kura kishabiki. Bahati mbaya sana waendesha mdahalo walikuwa makini na wakali kwake, mara kadhaa walimuonya au kumrekebisha.

Upande wa Kamala Harris alikuja na mtindo wa kujibu mashambulizi papo hapo, kupeleka mashambulizi ya kimkakati kwa ujanja na kusukuma sera zake mbele kwa haraka. Huu ni mtindo wa wanasheria mahiri hupenda kuutumia wakiwa mahakamani.

Kwa kifupi sana mdahalo ule umefanikiwa zaidi kumtambulisha zaidi Kamala Harris kama mgombea urais wa namna gani mbele ya wamerekani. Kwa haraka haraka unaweza ukahisi mdahalo ule uliandaliwa na Democrat ili kumpa jukwaa Kamala Harris.

Kwa style hii ya leo, hata midahalo ikarudiwa mara kumi tena huenda Kamala Harris akaonekana anabebwa au midahalo inambeba.
Mdahalo wa ABC?
 
Sawa....

Tunataka sasa mdahalo wa marais wa kwenye uchaguzi wa Tanzania pia

Ova
Utamfanya yule bibi aangue kilio... kama kauli ya Ndugai kuwa nchi itapigwa mnada ilimuuma vile leo apelekewe moto na Lissu jukwaani si atalazwa!! Yule ajuza hana ubongo wa ku digest mawazo na hoja heavy za papo kwa papo!
 
Clinton alimshinda Trump kwa kura za wananchi. Ila kundi la watu wasiozidi 300 wakampitisha Trump.

Rais wa Marekani eshajulikna hata kabla ya kura kupigwa
Bwahahahahahahaha duh kumbe we mtoto ni kiazi hivi bwahahahaha eti watu 300 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mitanzania ni mijinga na mishenzi mno ila ujuaji sasa!! Unaelewa nini maana ya Electoral college? Duh
Mzee Kiranga hebu mpe darsa huyu mjinga!
 
Kwa ulichokiandika, nadhani hii mada ni nzito sana kwako. Kwa nia njema sana nakushauru, jaribu kwanza kuufuatilia uchaguzi wa USA, ukiweza kapitie Youtube hii Debate ya kuamkia leo, kisha utakuja kuandika kitu kikubwa sana hapa JF na sote tutakuelewa vizuri sana.

Kwa kukusaidia tu, Trump amepanga kuinyoosha vizuri Africa na kuibeba USA tu. Hivyo ushindi wowote wa Trump unaweza kuja kuwa ni kilio kikubwa sana kwa Afrika.
Achana na malaya hao akili zao zipo kwenye vipochi....
 
Haya ndio maoni ya wote au yakwako wewe kapuku?,nani alikwambia USA presidaa anategemea midahalo kupata urais?,

Kwa USA wazito wanajua nani watakwenda nae kwa maslahi yao ya kibiashara,hilo takwa la kupiga Kura ni utaratibu tu kama mwingine
Utakuwa unasumbuliwa na CCM syndrome ambako kura na kupendwa na kukubalika si muhimu kushinda kwenye kinyang'anyiro cha urais.

Hivi nani kakudanganya kuwa asilimia kubwa ya wapiga kura wa marekani ni wafanyabiashara?

You are deluded
 
Ule mdahalo ulikuwa 3 v/s 1 na kiuhalisia Trump kashinda. Hata watangazaji walikuwa wakimuita "Mr. President" hoja za Kamala ni za kitoto sana. Angalia closing speech tu. Sentesi chache za Trump zitakuonyesha kila unalotaka kujua.
3 vs 1 how???....Trump alikuwa analeta Propaganda....wenzetu wamenyooka ukileta habari za uongo unarekebishwa straight away....na ndo kilichotokea....au ww umecheki mdahalo upi....yule ni mtu wa ku attack personality sio kuelezea sera zake....ndo maana yule mama kuna kipindi alimuambia unashindana na mm sio Biden hivyo tueleze sera zetu nn tutakifanya kuipeleka nchi mbele....angekuwa na free ride kama angekuwa anachuana na Babu Biden sio hyu mama.....kama nilovyosema awali nasimama na msimamo huo huo....akache midahalo asubiri uchaguzi bado ana nafasi kubwa ya kurudi pale mjengoni ila sio kukubali midahalo....atatandikwa mapema sana na hyu mama....na yule makamo wake naye kaombwa mdahalo na yule makamo wa Kamala...asikubali mtego huo yule bwana mdgo kichwani ndo mweupe kabisa.....zikipigwa kura based on midahalo ya Hawa watu aisee Babu Trump mapema sana anarudi pale Trump tower akilia na asiamini kilochotokea
 
mafia hawatakubali tena kuongozwa na mtu asie kua mafia..
sera ya uhamiaji imewavutia sana wamarekani wengu hasa vijana wasaka ajira na wale undecided...

by the way kama ilivyowahi kumtokea Hilary Clinton ndivyo hivyo hivyo itamtokea Kamala Haris, history inajirudia katika Uchaguzi mkuu wa November 2024🐒
Mafia ni nani kwa ufahamu wako?

Tatizo la watanzania unazungumzia hisia zako bila research unakurupuka tu, hili ni kundi la wahalifu wenye asili yao kisiwa cha Cecily Italy, wakijulikana kama mafioso kwa wataliano. Hawana influence yeyote na uchaguzi wa marekani.
 
3 vs 1 how???....Trump alikuwa analeta Propaganda....wenzetu wamenyooka ukileta habari za uongo unarekebishwa straight away....na ndo kilichotokea....au ww umecheki mdahalo upi....yule ni mtu wa ku attack personality sio kuelezea sera zake....ndo maana yule mama kuna kipindi alimuambia unashindana na mm sio Biden hivyo tueleze sera zetu nn tutakifanya kuipeleka nchi mbele....angekuwa na free ride kama angekuwa anachuana na Babu Biden sio hyu mama.....kama nilovyosema awali nasimama na msimamo huo huo....akache midahalo asubiri uchaguzi bado ana nafasi kubwa ya kurudi pale mjengoni ila sio kukubali midahalo....atatandikwa mapema sana na hyu mama....na yule makamo wake naye kaombwa mdahalo na yule makamo wa Kamala...asikubali mtego huo yule bwana mdgo kichwani ndo mweupe kabisa.....zikipigwa kura based on midahalo ya Hawa watu aisee Babu Trump mapema sana anarudi pale Trump tower akilia na asiamini kilochotokea
Ukitaka kuufaidi mdahalo ujao bac ushabiki na uzandiki uweke pembeni hapo utachuja kwa haki…

Kamala kagalagazwa sn kwny ule mdahalo, licha ya jopo la moderators kuonyesha wazi wapo upande wa bibie..

Na hakuna propaganda yoyote ambayo trump kaizungumza without critical reseach,

Mfano hai ni lile swala la wahamiaji kutoka hait kuvamia na kula mifugo ya wenyeji wa Springfield, walizani trump kalopoka tuu, leo team y waandish wa habari wamefunga safari huko springfield

Wenyeji wamesema ni kweli mifugo yetu inavamiwa na kuchinjwa, mbwa wanauawa n trump alichosema n ukweli mtupu…

Hilo tuu limeonyesha kuwa trump hakurupuki kwny kila anachoongea..
 
Haya ndio maoni ya wote au yakwako wewe kapuku?,nani alikwambia USA presidaa anategemea midahalo kupata urais?,

Kwa USA wazito wanajua nani watakwenda nae kwa maslahi yao ya kibiashara,hilo takwa la kupiga Kura ni utaratibu tu kama mwingine

Bongo kura zinasaidia nini au any other country in that matter?
 
Haina shida! Kika mmoja ameshinda kwenye eneo alilo na uwezo nalo:
1. Mdahalo - Harris
2. Urais - Trump
Mpaka sasa hakuna mshindi wa uchaguzi, maana uchaguzi bado.
Pili, mdahalo haulengi kumpata mshindi bali hulenga kuwapa nafasi wamarekani kupima wagombea kabla ya kuchagua.
 
Ukitaka kuufaidi mdahalo ujao bac ushabiki na uzandiki uweke pembeni hapo utachuja kwa haki…

Kamala kagalagazwa sn kwny ule mdahalo, licha ya jopo la moderators kuonyesha wazi wapo upande wa bibie..

Na hakuna propaganda yoyote ambayo trump kaizungumza without critical reseach,

Mfano hai ni lile swala la wahamiaji kutoka hait kuvamia na kula mifugo ya wenyeji wa Springfield, walizani trump kalopoka tuu, leo team y waandish wa habari wamefunga safari huko springfield

Wenyeji wamesema ni kweli mifugo yetu inavamiwa na kuchinjwa, mbwa wanauawa n trump alichosema n ukweli mtupu…

Hilo tuu limeonyesha kuwa trump hakurupuki kwny kila anachoongea..
Unarudia kuandika propaganda zile zile za Trump.

Unapozungumzia wahamiaji huko USA unazungumzia mamilioni ya watu, sio vibaka wawili watatu kwenye kijiji fulani huko USA. Sasa mgombea unapopewa jukwaa la kusikilizwa na watu zaidi ya milioni 300 halafu analipuka na hoja kuwa wahamiaji huko USA wanalaumiwa kwa kupukutisha paka na mbwa wa wenyeji, hapo unapaswa hata kupimwa akili.
 
Mpaka sasa hakuna mshindi wa uchaguzi, maana uchaguzi bado.
Pili, mdahalo haulengi kumpata mshindi bali hulenga kuwapa nafasi wamarekani kupima wagombea kabla ya kuchagua.
Wenzako tuna taarifa za "ndani" kuwa Rais ajaye wa Marekani ni Donald Trump.

Kama unabisha subiri uchaguzi ukamilike. Usisahau kuja kunikumbusha!
 
Ngumu sana mzee wa miaka 70+ kumshinda mwanasheria wa calibre ya kamala,hakupewa ile ofisi ya umma kwa upendeleo bali merit,sikuangalia mdahalo lakini kama takwimu za uchumi wa biden ni bora kuliko trump basi sidhani kama trump alikua na hoja,by the way taarifa zinadai wamarekani wengi wameona kamala kashinda mdahalo
Kushinda mdahalo si tatizo mkuu! Kama umesoma nilichoandika, utakumbuka kuwa hata mimi nimekubali kuwa Harris kashinda mdahalo ingawa sijauangalia, ila Urais ni wa Trump!

Mbona hilo wengi tushalifahamu? Rais ajaye wa USA ni Trump!
 
Back
Top Bottom