Midahalo hata irudiwe mara kumi, kiufundi Trump hataweza kumshinda Harris katika mdahalo!

Rudia upya mdahalo mkuu na mm siongei kimahaba....propaganda unaweza kuongea vitu vya uongo na vingine vikawa na ukweli pia ila asilimia kubwa vinakuwa ni nadharia....nimemfatilia sana Babu Trump kuanzia alipokuwa anaongoza nchi mpk Sasa alivyotangaza Nia na kupewa tiketi kugombea....style yake ya kubadilishana hoja ni kwanza anataka akutweze Ili uingie uoga ndo huko ku attack personality halafu anapenyeza na agenda zake na ni mtu ambaye ana maneno ya mtaani sana....Sasa kwa presidential candidate ukishapewa nafasi ya kuongea na hadhira ni kujielekeza kwny mipqngo yako na sera zako nn utqfanyq na kuwapeleka watu mbele....hzi tactics anazotumia angefanikiwa kwa Babu Biden sio hyu mama....hyu mama atamsumbua sana....kama anataka mdahalo tena ajipqnge vizuri raundi ijayo sio atumie hii mbinu....atazidi kuharibu....na haka kamama kanamjua Babu alivyo ndo maana tangu awali kalikuwa kanataka midahalo sana....Babu Trump bado ana nafasi kubwa ila asikubali tena kuuingia ule mtego kama wa jana
 
Soma mada kabla ya kushambua.
Hujaelewa chochote kuhusu mada. Mada inahusu mdahalo uliokwisha punde.
Pro Trump wengi wanakiri wazi kuwa kanuni, taratibu, waendeshaji na maswali ya mdahalo huu yalikuwa yanampendelea Harris. Kwanini? Tafakari.
Tulia! Achana nae usimjibu
 
hakuna mwanasiasa mkweli duniani labda mwanaharakati.
Baya zaidi alidanganya kule Ohio wahamiaji wanakula mbwa na paka sasa imekuwa ni kituko wazungu wana mock sana na kumuona kumbe ni mpuuzi tu amejiporomosha zaidi
 
Kamala alimshinda Trump katika kuelezea sera zake tofauti tofauti.

Trump alikua amefocus sana kueleza mambo yake muhimu, akiwa amebase zaidi kwenye swala la wahamiaji ambalo kiuhalisia litampeleka sana.

Kingine pia uzuri wa Trump ni mtu wa action, hanaga kulemba lemba, kama umezingua atakwambia live kama alivyowafanyiaga Nato.

Mwisho wa siku ngoja tuone, gem bado inaonekana kua 50/50 ila usishangae Trump akashinda mana sera ya uhamiaji alonayo ni muhimu sana kwa Marekani kwa sasa
 
🤣🤣🤣 ila hata hirrary alikuwa na mdomo sn mwisho wa siku akasanda, ss kwa huyu mama ngoja tuone,
 
Kushinda mdahalo Haina shida mkuu! Kama umesoma nilochoandika, utakumbuka kuwa hata mimi nimelubali kuwa Harris kashinda mdahalo I gawa sijauangalia ila Urais ni w Trump! Mbona hilo wengi tushalifahamu? Rais ajaye wa USA ni Trump!
Kitendo cha kusema mdahalo ulikuwa 3 vs 1 ni wazi kuwa ni excuse ya kushindwa.
 
🤣🤣🤣 ila hata hirrary alikuwa na mdomo sn mwisho wa siku akasanda, ss kwa huyu mama ngoja tuone,
Bado Babu ana nafasi ila huu uamuzi wa kukimbia mdahalo ni uamuzi wa busara sana ambao ameufanya Babu kwny maisha yake....vinginevyo angeendelea kukomaa kwmba anataka raundi nyingine hakyanani kingemkuta kitu....Babu yy anachojua ni kumshambulia mtu na kumpa maneno ya kihuni Ili atepete kwanza halafu ndo mengine yaendelee....kale kamama kalishafanya homework yake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…