Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
nimeipenda avatar yako yenye bendera ya Tanganyika. Awali nilidhani tuko wachache, kumbe tunaotaka Tanganyika irudi katika enzi yake tuko wengi!!!
Mtu ambaye hajaisoma katiba pendekezwa utamjua tu, kazi kupenda Avator, monor things!!! wewe Tanganyika unaijua wewe???? au unaongea kwa ushabiki? usijifariji bado mko wachache tena wewe ni mchumiatumbo unayeitaka Tanganyika usiyoijua na hata nikikuambia unipe origin ya neno Tanganyika utabaki kulamba sharubu unashangaa!