Midahalo ya Katiba Inayopendekezwa inaendelea saa hizi katika kumbi za makanisa kadhaa

Midahalo ya Katiba Inayopendekezwa inaendelea saa hizi katika kumbi za makanisa kadhaa

wewe ukiwa mjinga usidhani wote ni wajinga kama wewe. Huna mawazo huru nyamaza au endelea kula mpunga unaolipwa
`

Mwakaboko nakuonea huruma inabidi uombewe nahisi una mapepo unawaza hela muda wote huna hata chembe ya uzalendo ndani yako inaelekea huko nyuma uliwahi kudhulumu au kuiba pesa ya mtu na kama sio kipindi cha nyuma unadaiwa maana akili yako imekaa kaa kupiga dili,wewe sio mtu wa kawaida kwenye jambo la msingi la maisha ya watu wewe unawaza hela ama kweli dunia inaelekea ukingoni!
 
simple arithmetics: nakala milioni mbili kwa watanzania wenye haki ya kupiga kura zaidi ya milioni 16? afisa mtendaji wa kata yenye wakazi wenye umri wa kupiga kura zaidi ya elfu nane anapewa nakala 200 tu, amgawie nani amwache nani?

wananchi tunaburuzwa kama wajinga limbukeni kwa maslahi ya nani?

na sasa natamka wazi, kila mzalendo mwenye uchungu na taifa letu asiwe muoga kusema HAPANA!!! IMETOSHA!! KWA MANENO NA VITENDO, KATIBA PENDEKEZWA = HAPANA... HAPANA...HAPANA!!!!!


Wewe mwenyewe na cheo chako cha bandia huna hata chembe ya uzalendo, haiwezekani uwaze kuligawa taifa na kwa taarifa yako nikufahamishe Tanzania ya sasa haina waoga mfumo wa vyama vingi umeshawaondoa waoga wewe kila mtu yuko huru anajua anachokifanya sasa wewe unapowahamasisha watu kukataa kupiga kura eti wasiwe waoga sikuelewi wewe ndio muoga unatafuta huruma wenzako hatuna chembe hata moja ya woga tunajielewa sisi tutaenda kupiga kura!
 
Back
Top Bottom