Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
nimeipenda avatar yako yenye bendera ya Tanganyika. Awali nilidhani tuko wachache, kumbe tunaotaka Tanganyika irudi katika enzi yake tuko wengi!!!
wewe ukiwa mjinga usidhani wote ni wajinga kama wewe. Huna mawazo huru nyamaza au endelea kula mpunga unaolipwaMtu ambaye hajaisoma katiba pendekezwa utamjua tu, kazi kupenda Avator, monor things!!! wewe Tanganyika unaijua wewe???? au unaongea kwa ushabiki? usijifariji bado mko wachache tena wewe ni mchumiatumbo unayeitaka Tanganyika usiyoijua na hata nikikuambia unipe origin ya neno Tanganyika utabaki kulamba sharubu unashangaa!
Kumbe na wewe umo kwenye orodha ya waongo, niliyoyataja hayamo kabisa, Wenye nchi hawataki kabisa kuyaona maana yana.... ila wewe endelea kula mshahara wakowewe hujitambui, ni vema ungeisoma ukaangalia kati ya hayo uloyataja hapo yamo? Yako sehemu gani? Acha kudanganya watu bhana, kuwa mzalendo.
Kumbe na wewe umo kwenye orodha ya waongo, niliyoyataja hayamo kabisa, Wenye nchi hawataki kabisa kuyaona maana yana.... ila wewe endelea kula mshahara wako
source: Bbc 23/03/2015
katika dira tv usiku huu, rambi rambi pamoja na salamu za kumuenzi mwasisi wa taifa la singapore lee kuan yew aliyefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 91. Aliongoza mabadiliko katika singapore kutoka nchi ndogo maskini hadi ikawa mojawapo ya mataifa tajiri duniani. Swali ni : Je kwa nini hilo halijawezekana katika mataifa ya bara la afrika?
kweli wewe kiazi, umeshasahau mara hii. Mwalimu Nyerere alisema nini ili tuendelee tunahitaji nini? akajenga viwanda, leo tumeviua kwa elevi tu, akajenga banki tukaiua kwa ulevi tu. Leo kilio kila kona, Lee alikuwa hacheki na nyani shambani. I Like his leadership styles, kuwa dictator nchi isonge mbelemuulize huyo marehemu lee kuan yew huenda akakupa siri ya mabadiliko nchini singapore.
Wewe ni kiazi, tena ni mtumwa wa watu, hauko huru unahitji kukombolewa kifikra, Pole. endelea na upuuzi wako, kaburi lako likuja pigwa viboko na wanao kwa sababu ya kufanya maamuzi ya hovyo hovyo. If you are a woman, you are a bad mother and in case you are a man you are a bad father
Wewe punguani, hujitambuiu, umekalia uwongo, humdanganyi mtu hapa!! kojoa ulale.
wewe ni kiazi, tena ni mtumwa wa watu, hauko huru unahitji kukombolewa kifikra, pole. Endelea na upuuzi wako, kaburi lako likuja pigwa viboko na wanao kwa sababu ya kufanya maamuzi ya hovyo hovyo. If you are a woman, you are a bad mother and in case you are a man you are a bad father
Hata kule Rwanda wale wauaji walitumia lugha hiyo ya degrade watu mpaka katika level ya wadudu, ili wafanye ubazazi wao ambao nawe sasa unaujua. Who knows labda ndiyo mnafanya maandalizi!!! But that strategy won't work in our beautiful and glorious nation. The candle lit at Calvary is taking care this nation... no matter how long you sons of darkness struggle to ruin our glorious nation.. God is in charge, We will cross the river full of hungry crocodiles safely. You are a disgrace to the nation, you better shut up
and the vice versa is true to youuuuuu cockroach traitor!!!
Na waisilamu nao wakianza midahalo misikitini tutafika?
heri yako wewe umebahatika kuisoma, mamilioni ya watanzania hawajaiona wala hawaijui rangi yake, na hawataiona hiyo Katiba pendekezwa hadi siku ya kupiga kura ya maoni, tena si kwa bahati mbaya bali ni mkakati maalum wa watawala kutumia kanuni ya 'wajinga watawale'
Katiba itatusambaratisha WATZ panahitajika viongozi makini na wenye kujali nchi na watu wake.
Katiba pendekezwa is for corrupt leaders. Period
Hongera kwa kwenda kwenye nyumba ya ibada, Mchungaji ni binadamu anaweza kuipelekea nchi yetu na wananchi kupata elimu ya bure ambayo inawaelekeza kwenye mawazo yake. Wanzania tuwe watu wa kuwahoji hawa wanaoleta porojo zao. Watanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu. Tunaamini kuwa misingi hiyo inaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye mfumo wa demokrasia na misingi ya utawala bora ambayo Serikali yake inasimamiwa na Bunge lenye Wabunge waliochaguliwa na wanaowakilisha wananchi. Ungana na Watanzania kutimiza azma ya kupa Katiba Mpya.