simple arithmetics: nakala milioni mbili kwa watanzania wenye haki ya kupiga kura zaidi ya milioni 16? afisa mtendaji wa kata yenye wakazi wenye umri wa kupiga kura zaidi ya elfu nane anapewa nakala 200 tu, amgawie nani amwache nani?
wananchi tunaburuzwa kama wajinga limbukeni kwa maslahi ya nani?
na sasa natamka wazi, kila mzalendo mwenye uchungu na taifa letu asiwe muoga kusema HAPANA!!! IMETOSHA!! KWA MANENO NA VITENDO, KATIBA PENDEKEZWA = HAPANA... HAPANA...HAPANA!!!!!