Midahalo ya wagombea urais kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Kwa KINGE Le profeseli na "MTU FURANI" wataogopa kushiriki maana KINGE kwao mtihani yaani cha UGOKO.
 
Naunga mkono hoja.
Huu ndo ulikuwa muda muafaka kwa vyombo vya habari kama ITV ambao wana footage ya matukio mengi ya zamani kuringa na kujimwambafy kwa kutuonyesha zile 'rare' walizokuwa nazo!
 
Hata Waandishi wa wakati huo walikuwa heavy weight sio hawa wa siku hz habari mwanzo mwisho ni '…kwa mujibu…inaaminika…' no facts
Kabla ya hapo watu wengi walikuwa wanadhani Mkapa ni ‘lightweight’ kwa sababu bungeni hakuwa mchangiaji machachari wa hoja.
 
Mdahalo ukifanywa kwa kingereza utapendeza zaidi,

Lakini Yule ataukimbia tu!
 
Midahalo ajabu mtu mwingine utasikia Ohhh ifanyike kingereza kwa Nini isiwe kwa kifaransa? Lugha kuu zinazoongoza duniani Ni kingereza na kifaransa kwa Nini wengi wakomae kutaka kingereza tu?
PhD ya korosho chali
 
Kwenye huo mdahalo unayotaka ccm itawakilishwa na Mr.Catalyst? Huwezi kuwa serious
 
Kuna mgombea mmoja wa chama kikubwa nchini alimkimbia mwandishi wa habari wa BBC yule dada Zuhura Yunus, ila mwenzake
Lowasa alijitia kichwa ngumu kufanyia mahojiano, alipopigwa maswali mawili matatu akaanza kulalamika eti Zuhura anamuonea.
 
Nasikia Joe Biden pamoja na kuongoza kwenye polls nyingi lakini anataka kusepa mdahalo na Trump kwa kisingizio cha Covid19 na Trump kutotoa taarifa zake za Kodi. Sasa sisi tunao jifunza demokrasia tutaweza hayo mambo ya midahalo Kama wanao jiita wanademokrasia wanafanya hayo.
 
Mgombea Wa kwanza kulala Mbele atakuwa mgombea Wa ccm has a mkisema lugha Ni kizungu
 
Na kwanini mnapenda kuiga mambo ya kipumbavu na yasiyo na tija, badala ya kuiga mambo yenye manufaaa.
 
Na hii ndio silaha yetu ya ushindi...ujinga,ujinga,ujinga!
 



Hoja Dhaifu kabisa

Mbona mnanunua Vyombo vya Muziki na Kwenda na wasanii wengi kwenye Campeni,Je hamtambui nafasi ya Viziwi huko????

Mbona Press conference na mikutano ya NEC mnarusha live,Je huwa hamjui kuwa Vijijini hakuna TV Wala Radio??

Mdahalo ni Unatupa fursa ya kuwapima wagombea wetu kwa kina,lakini pia ni indication nzuri ya Uwepo wa Demokrasia,kwa mantiki hiyo na Unga hoja mkono
 
Mdahalo huo labda uwahisishe wagombea urais wa vyama vingine lkn siyo ccm. Kwasabb kwa namna mgombea wa ccm alivyo mzito kuongea na jinsi asivyojua kupangiilia hoja hawezi kukubali aibu imfike.
 
Mdahalo uendeshwe kwa lugha ya mabeberu....awepo Membe..Lissu na Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…