Midoli: naomba kujuzwa chochote unacho kijua kuhusu midoli

The Spartan

Senior Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
179
Reaction score
260
Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.
Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo.
Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa shuhuda zinazo husisha midoli hiyo na mambo ya kishirikina ambayo yanakuwepo as long as mdoli yupo na yanasumbua kiasi kwamba unaweza tafuta mchawi kwingine huko kumbe upo naye ndani.., mbaya zaidi ni kwamba si rahisi kutambua energy hizo zinatoka wapi.
Je, wewe hapo una experience yeyote au umewahi kusikia nini kuhusu hawa midoli? tusaidie hapa ili wanao pitia mambo wasio yajua wapate mwanga.

jf1.jpg
jf2.jpg
Nawasilisha 😎 😎😎
 
Kama unaamini kwenye mambo ya uchawi basi unatakiwa uogope kila kitu.

Usiishie kwenye midoli tu, hadi nguo, filamu, viatu nk...

Mnakuwaga kama hamtumii akili vile, badala ya kupambana na uchawi, mnatumia nguvu nyingi kuogopa uchawi.
 
unayo midoli nyumbani kwako?
 
Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.
Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo.
Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa shuhuda zinazo husisha midoli hiyo na mambo ya kishirikina ambayo yanakuwepo as long as mdoli yupo na yanasumbua kiasi kwamba unaweza tafuta mchawi kwingine huko kumbe upo naye ndani.., mbaya zaidi ni kwamba si rahisi kutambua energy hizo zinatoka wapi.
Je, wewe hapo una experience yeyote au umewahi kusikia nini kuhusu hawa midoli? tusaidie hapa ili wanao pitia mambo wasio yajua wapate mwanga.

Nawasilisha 😎 😎😎
Kuna huyo mdoli anaitwa Anabelle ni kisanga.
 
Hizo nguvu za giza zinakufanyaje ukiwa na midoli ndani?
 
Back
Top Bottom