The Spartan
Senior Member
- Jan 27, 2018
- 179
- 260
duh, ndomaana watu wanakabwa usiku kucha 😀Unachopaswa kujua ni mwamba midoli ni majini
asante, kuna watu wanajifunza kitu leoInaaminika kwamba ni rahisi sana nguvu za giza kuji attach kwenye midoli.
unayo midoli nyumbani kwako?Kama unaamini kwenye mambo ya uchawi basi unatakiwa uogope kila kitu.
Usiishie kwenye midoli tu, hadi nguo, filamu, viatu nk...
Mnakuwaga kama hamtumii akili vile, badala ya kupambana na uchawi, mnatumia nguvu nyingi kuogopa uchawi.
ipo na utotoni nimechezea sanaunayo midoli nyumbani kwako?
basi si mbaya. kila mtu ana experience yake kaka.ipo na utotoni nimechezea sana
Kuna huyo mdoli anaitwa Anabelle ni kisanga.Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.
Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo.
Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa shuhuda zinazo husisha midoli hiyo na mambo ya kishirikina ambayo yanakuwepo as long as mdoli yupo na yanasumbua kiasi kwamba unaweza tafuta mchawi kwingine huko kumbe upo naye ndani.., mbaya zaidi ni kwamba si rahisi kutambua energy hizo zinatoka wapi.
Je, wewe hapo una experience yeyote au umewahi kusikia nini kuhusu hawa midoli? tusaidie hapa ili wanao pitia mambo wasio yajua wapate mwanga.
Nawasilisha 😎 😎😎
yule wa kwenye movie?Kuna huyo mdoli anaitwa Anabelle ni kisanga.
Huyo huyo ana balaa lake huyo akiwa ndani hapakaliki.yule wa kwenye movie?
Nimenunua mdoli wa mtoto nimekuta wife kagawa.Unachopaswa kujua ni mwamba midoli ni majini
True.Kama unaamini kwenye mambo ya uchawi basi unatakiwa uogope kila kitu.
Usiishie kwenye midoli tu, hadi nguo, filamu, viatu nk...
Mnakuwaga kama hamtumii akili vile, badala ya kupambana na uchawi, mnatumia nguvu nyingi kuogopa uchawi.