SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?

istockphoto-1333083823-612x612.jpg
 
Tunachokijua
Uke ni kiungo kinachounda sehemu ya mfumo na mfereji wa uzazi wa mwanamke ambacho hufanya kazi kuu tatu ambazo ni;
  1. Kuruhusu utoaji wa masalia ya damu na tishu za mji wa uzazi kupitia hedhi.
  2. Kupokea uume wakati wa kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuhifadhi mbegu za kiume kwa mda hadi zitakapo ufikia mji wa uzazi.
  3. Kuruhusu kupita kwa mtoto wakati wa uchungu wa kuzaa.
Kimuundo, uke humaanisha tundu la ndani ambalo urefu wa kina chake hubadilika kulingana na hali anazopitia mwanamke. Mathalani, kabla ya msisimko wa kihisia, pasipo kujali ukubwa wa midomo, wastani wa kawaida wa kina chake huwa ni nchi 2.74-3.25 huku kina chake kikiongezeka hadi kufikia wastani wa nchi 4.25-4.75 wakati wa msisimko wa kihisia. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa Masters na Johnson (1966).

Mashavu yanayozunguka uke ambayo kitaalamu huitwa labia huwa na muonekano wa aina nyingi ambazo hutofautiana miongoni mwa wanawake. Kwa baadhi yao, labia hizi huwa ni kubwa, huonekana zimevimba, nyembamba, zimechomoza nje na wengine huwa wazi kiasi cha kufanya baadhi ya sehemu za ndani zionekane kirahisi.

Pamoja na uwepo wa tofauti hizi, JamiiForums inatambua kuwa ukuaji wa uke na labia zake pamoja na ukuaji wa midomo vyote kwa pamoja huongozwa na taarifa za kijenetiki (Genetics) na homoni za mwili.

Pia, JamiiForums imefanya mazungumzo na Madaktari Bingwa wa Masuala ya wanawake waliothibitisha kuwa ukubwa wa midomo na uke huwa havina uhusiano.

Aidha, hakuna maelezo yoyote ya kitafiti yanayothibitisha uhusiano wa ukubwa wa midomo na ukubwa wa uke hivyo mwanamke anaweza kuwa na uke mkubwa pasipo kujali udogo wa midomo yake, pia anaweza kuwa na uke mdogo hata ikiwa muonekano wa umbo la midomo yake ni mdogo.

Suala hili halina uthibitisho wa hoja za kisayansi hivyo linabaki kuwa ni uzushi.
Sidhani km ni kweli wanaume mna vijimambo vingi nyie, japo niko na lips kali ila mnazikuza mno hakuna cha utamu wala uchungu
 
Huu uzi sasa kwanini umefichwa huku, turudi kwenye mada mi nshakwambiaga ur pussy is a killer baada ya kuona aesthetics zako tu kuanzia usoni hadi full body 😀😀😀
Kwa lips tu aaah hapo sina mpinzani 😂😂hayo mengine sasa itabidi uje chumbani uniambie uliyajuaje
 
Back
Top Bottom