natiririka na hii Mada kidogo
unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie selfie kuilemba hiyo pc hivi ukisimamishwa na wanaume ukatongozwa utalaumu? hasa Ninyi wanaume wa dar ndo kazi yenu kushinda saloon na kufanya sijui wanaita nini ile! mwili uso unakuwa kama mrembo. acheni ulimbukeni. kuwaridhisha wake zenu mmeshindwa kazi iliyobaki ni kujilemba tu. elimikeni basi mnachekwa na mademu zenu. povo ruksa mi naoshia hapo. nawakilisha hoja.
wa dar ndo wanaongoza mara nyingi nikitembelea huko nikijaribu kwenda saloon zao mpaka naonaga kichefu utasikia masag mara uso sijui kufanya nini pumbavu sipendagi ujinga huo[emoji23][emoji23]Ujumbe mzuri ila umeuharibu kufanya generalization kwa wanaume wa dar!
Mkuu umejuaje mambo ya masaji au ushamasajiwa?wa dar ndo wanaongoza mara nyingi nikitembelea huko nikijaribu kwenda saloon zao mpaka naonaga kichefu utasikia masag mara uso sijui kufanya nini pumbavu sipendagi ujinga huo[emoji23][emoji23]
Kila mtu ana maamuzi yakendo kazi Yao kujilemba tu Harafu mademu wao wapo busy kutafuta njemba za kijijini ambazo hazija edit uso pumbavu zao
.wa dar ndo wanaongoza mara nyingi nikitembelea huko nikijaribu kwenda saloon zao mpaka naonaga kichefu utasikia masag mara uso sijui kufanya nini pumbavu sipendagi ujinga huo[emoji23][emoji23]
NakaziaInawezekana akawa design ya James Mtamu