Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

Sio kila anaevaa suruali ni mwanaume. Hiyo tabia sio ya wanaume kabisa
 
Mimi wananikera wale wanaume wenzangu yaani Mpo kwenye ishu muhimu labda mkutano Wa kikazi yeye anapiga selfie na nyinyi mkiwemo halafu anairusha social networks fasta
 
Back
Top Bottom