Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Wanavaa hadi suruali chini ya makalio, matako yote nje hadi unajiuliza huyu ni james delicious nnAlafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote