Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

Alafu idadi kubwa wale wanaume wenye tabia hizo ni wa mikoani waliokuja dar kutokana na ushamba wao waliotoka nao huko mikoani ndiyo huiga na kufanya upuuzi wote
Wanavaa hadi suruali chini ya makalio, matako yote nje hadi unajiuliza huyu ni james delicious nn
 
Mzaramo,mdoe au mngendereko na scrub wapi na wapi kwanza.Labda vingoma ngom vyao hapo sawa. Sawa nyiyni wa mkoa mkija DAR mkiona mtu anakandwa uso basi na wewe unaona donge unataka ukandwe hahahah baadae unaanza kuponda eti wanaume wa DAR wanajiremba are you serious bro!!!
 
Wanavaa hadi suruali chini ya makalio, matako yote nje hadi unajiuliza huyu ni james delicious nn
Kwa hiyo wanaume wote wa DSM wanavaa dizaini hiyo unayoisema? Tatizo mlilonalo ni kwamba mnapenda kufanya generalization kwa vitu ambavyo wanafanya watu wachache?
 
Kwa hiyo wanaume wote wa DSM wanavaa dizaini hiyo unayoisema? Tatizo mlilonalo ni kwamba mnapenda kufanya generalization kwa vitu ambavyo wanafanya watu wachache?
sio wote ndugu, mi pia born and live in dar ila hizo mambo cjawah kufanya, naskitikia tu ulimbukeni unaowakumba vijana wenzangu walamba midomo na kujipiga selfie za ki-cute cute...hv kuvaa smart km MAN ni ngumu sana hadi wajirembe km retards
 
Mkuu kila mtu na mapenzi na kile kilicho kwenye nafsi yake huwezi kufosi wanaume wote wawe kama unavyotaka wewe. Mimi unavyoniona scrub siijui,masaji ndo kabisa labda nifanyiwe na mke wangu nikishamuoa.Nina upara muda wote sifugi ndevu. Wengine wana viduku,milegezo ,masharobaro sasa utawazuiaje mkuu?
 
Being a man has no altenative
 
wa dar ndo wanaongoza mara nyingi nikitembelea huko nikijaribu kwenda saloon zao mpaka naonaga kichefu utasikia masag mara uso sijui kufanya nini pumbavu sipendagi ujinga huo[emoji23][emoji23]
hahaa kwa hiyo unafurahia mwenyew kuwa na sura kama magome ya mti "" ndio maana mkeo huwa analalamika kuwa akikushika usoni una mchubuwa kama umebandika usoni msasa
 
Ngoja waje mkuu!!
Wanaume mkuje huku jamanii
huyo hana hela ..kawaida ya wanaume wa mikoani "" elfu 10 huwa ni budget ya week nzima...so anapokuja dar na kukuta kuwa wanaume wa huku hiyo elfu ni hela ya kula makange tu mchana basii ana changanyikiwa ..limoyo linatuna na kuwa kubwa kama pulizo kwaajili ya kujaza chuki tu. kwa wanaume wa hili jiji"""apambane na hali yake aisee
 
Back
Top Bottom